PostGE2025 Rais Samia: Huko Mahabusu kuna watu hawana hatia, wanafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lissu no.1
 

..wanaobambikia watu kesi ni watendaji ktk vyombo vya serikali ikiwemo polisi, na ofisi ya muendesha mashtaka. Kitendo cha Mama Abdul kuwalaumu na kuwalalamikia Majaji, ni upotoshaji, na kujizima data.
 
Na Kuna majaji wamesomeshwa Kwa Kodi zetu wamekaa wanamsikliza kabisa

Bora pilato alipokosa namna ya kumsaidia alinawa mikono akajitoa

Tulitegemea majaji wajiuzulu Kwa maelfu chini ya huu utawala wa umwagikaji damu
 
Wanasiasa wakukwambia kumepambazuka. Toka nje kwanza ukajiridhishe.
 
Yeye mwenyewe amesahau kuwa hapo alipo hastahiri kuwepo?

Hakuna aliyemchagua kuwa mtawala wa mabavu wa nchi hii!

Mtu laghai siku zote anafikiri ulaghai wake watu hawaujui.
 
Wanasiasa wakukwambia kumepambazuka. Toka nje kwanza ukajiridhishe.
Mkuu 'Odhiambo', kuna "wanasiasa", na kuna "walaghai". Huyu siyo mwanasiasa.

Mara nyingi tunachanganya siasa na mambo yasiyohusiana na siasa kabisa, kwa vile tu mhusika kashikilia nafasi ambayo kwa kawaida inahusiana na siasa. Hatuwezi kusema Idd Amin alikuwa mwnasiasa, au siyo?

Samia ni mtu tapeli, laghai na mwongo mwongo tu, siyo mwanasiasa.
 
Tengeneza tatizo, toa tiba, uonekane shujaa.

Ndicho anachokwenda kukifanya Manyonyo
 
Faki the fazafaka! Yeye si ndiye amemueka Lissu mahabusu kwa kesi ya mchongo?
 
Sasa hili linawahusu nini majaji? Anayepeleleza, kukamata, kushtaki na kuandaa ushahidi ni majaji au watu wake yeye wa serikalini?

Kwahiyo sasa hivi tunaweza kuwatupia lawama majaji kuhusu yanayomsibu Lissu?

Napata mashaka, pengine hata watawala hawajui tatizo la nchi ni nini.
​
 
Kamuweka yeye au mahakama?
sote tunajua kuwa alimuweka yeye huko mahabusu.
ni baada ya kuanza kwa kampeni ya no reforms no election. haswa alipozungumzia makaa ya mawe ye mchuchuma.
kama hajamuweka yeye mbona kwenye ule mkutano wa who are you na wale wazee wa ccm wa Dar alimtaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…