this woman is a clown....ndio maana mabalozi wamemdharau sana anatoa spech wao wanapiga story zaoRais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.
"Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa 'engineering' gani imetumika Mahakamani mpaka mtu akaenda jela kwa kesi ya kubambikiwa, akitoka anasema mimi sikuwa na kesi nilibambikiwa tu lakini nimekaa nimetoka, sasa wewe uliyepeleka ukamnyima mtu uhuru wake ukaenda ukamfanya afungiwe kule jipime una jukumu gani katika hilo...."
Ndiyo unaona leo wewe kitumbo? Umemfunga Lissu kwa uonevu halafu unaongea mavi .....Haijawahi kutokea rais mjinga asiye na akili kama huyu!!! Pengine ni kwa vile alifeli kwa kupata ZERO form IV kama mchumba wake Makonda aka Bashite.Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.