ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini.
Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo.
Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo akichangia mjadala bungeni,mara zote ambazo akichangia Huwa ni kwenye Wizara ya Madini na anaongea vitu logical.
It will make sense ku tape potential yake badala ya kumuacha azeeke na maarifa yake na Tanzania hii kama unavyojua mtu kama hayuko kwenye nafasi Huwa hapewi forum ya kuheshimu mawazo yake Kwa sababu watu wanahusudu ubinafsi kuliko maslahi ya Nchi.