Rais Samia, ikikupendeza mteue Prof. Muhongo Wizara ya Madini asaidiane na Dotto, ana mawazo yenye tija

Rais Samia, ikikupendeza mteue Prof. Muhongo Wizara ya Madini asaidiane na Dotto, ana mawazo yenye tija

Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini..

Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo..

Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo akichangia mjadala bungeni,mara zote ambazo akichangia Huwa ni kwenye Wizara ya Madini na anaongea vitu logical..

It will make sense ku tape potential yake badala ya kumuacha azeeke na maarifa yake na Tanzania hii kama unavyojua mtu kama hayuko kwenye nafasi Huwa hapewi forum ya kuheshimu mawazo yake Kwa sababu watu wanahusudu ubinafsi kuliko maslahi ya Nchi..

Muhongo arudishwe nishati tu
 
aliyoyasema ndio yaleyale ambayo Marehemu alikuwa anapigania tukamuona mwehu., mmesahau ugomvi wa marehemu na Acacia kwenye makinikia na other minerals ndani yake? mpaka akapambana tuwe na smelters hapahapa na Taifa linufaike na contents nyingine inside makinikia?

Le Profeseri Muhongo, alikuwa Waziri awamu ya nne, alishauri nini serikali na Rais kilichokuwa na tija na kuacha alama mpaka leo?...

Hakuna genius anaweza kufanya kazi katikakati ya vilaza akawa salama kama sio yeye naye kumezwa na kuwa kilaza tu, Huwezi kufanya kazi na failed system na wewe usiwe failure labda ubahatike kuwa ontop of the failed system na utumie nguvu yako kuitengeneza upya.... Ni jukumu lako ukubali kufanya kazi na vilaza + failures au ukae pembeni upambane nao ili uwabomoe kunusuru chombo kuzama.
 
Ukiwasikiliza hakuna jipya ni yaleyale ambayo hata huku mtaani tunayapigia kelele, baadala yake wao kama wawakilishi walipaswa kusimama kidete kuhakikisha utekelezaji unachukua nafasi hata ikiwezekana kwa kusimamisha shillingi au kuikataa serikali..

Kusemasema tu na kugonga meza hakuweza kuisaidia hii nchi zaidi ya hatua kuchukuliwa na utekelezaji kuanza mara moja...
 
Kweli vijana hawatakaa watoboe...mtu kazeeka ila upara unang'aa tu ndani ya suti na bado anaombewa nafasi tena🙌
 
Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini..

Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo..

Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo akichangia mjadala bungeni,mara zote ambazo akichangia Huwa ni kwenye Wizara ya Madini na anaongea vitu logical..

It will make sense ku tape potential yake badala ya kumuacha azeeke na maarifa yake na Tanzania hii kama unavyojua mtu kama hayuko kwenye nafasi Huwa hapewi forum ya kuheshimu mawazo yake Kwa sababu watu wanahusudu ubinafsi kuliko maslahi ya Nchi..

Mijitu yenye dharau kwa Watanzania na kujisifu haina nafasi kwa kipindi hiki. Huyo Profesa ana dharau sana watu, muache aendelee kuwakilisha watu wa Musoma Vijijini tu.
 
Back
Top Bottom