ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Muhogo Huyu fi-sadi wa kutupwaMh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini..
Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo..
Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo akichangia mjadala bungeni,mara zote ambazo akichangia Huwa ni kwenye Wizara ya Madini na anaongea vitu logical..
It will make sense ku tape potential yake badala ya kumuacha azeeke na maarifa yake na Tanzania hii kama unavyojua mtu kama hayuko kwenye nafasi Huwa hapewi forum ya kuheshimu mawazo yake Kwa sababu watu wanahusudu ubinafsi kuliko maslahi ya Nchi..
Alikufisadi wapi na nini?Muhogo Huyu fi-sadi wa kutupwa
USSR
Inawezekana tuuAshawahi kua waziri, ateuliwe awe naibu tena?
umesahau alikuwa huko kashfa ya ufisadi ndiyo ilimtoa. wakiwa nje ni wazuri sana kwa mipango, waiingize ndani uone watakachofanya, ni ufisadi kwa kwenda mbele. Mwulize sasa km hajakuita tumbili.Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini..
Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo..
Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo akichangia mjadala bungeni,mara zote ambazo akichangia Huwa ni kwenye Wizara ya Madini na anaongea vitu logical..
It will make sense ku tape potential yake badala ya kumuacha azeeke na maarifa yake na Tanzania hii kama unavyojua mtu kama hayuko kwenye nafasi Huwa hapewi forum ya kuheshimu mawazo yake Kwa sababu watu wanahusudu ubinafsi kuliko maslahi ya Nchi..
Asimsahau kumrudisha CHARLES KITWANGAMuhogo Huyu fi-sadi wa kutupwa
USSR
wa nishati na madini, ulikuwa unanyonya ziwa la mama siyo?Alikufisadi wapi na nini?
Tunataka mawazo yake ,nachojua Uchumi wa gas ulikufa alipoondokawa nishati na madini, ulikuwa unanyonya ziwa la mama siyo?
Muhongo ni mwongo na kwasasa hafai na hajawahi kufaa.Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini..
Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo..
Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo akichangia mjadala bungeni,mara zote ambazo akichangia Huwa ni kwenye Wizara ya Madini na anaongea vitu logical..
It will make sense ku tape potential yake badala ya kumuacha azeeke na maarifa yake na Tanzania hii kama unavyojua mtu kama hayuko kwenye nafasi Huwa hapewi forum ya kuheshimu mawazo yake Kwa sababu watu wanahusudu ubinafsi kuliko maslahi ya Nchi..
Kwa hiyo umemsikiliza ukakuta anachoongea ni uongo au mnakuwa na shida zenu binafsi zingine?Muhongo ni mwongo na kwasasa hafai na hajawahi kufaa.
Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini..
Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo..
Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo akichangia mjadala bungeni,mara zote ambazo akichangia Huwa ni kwenye Wizara ya Madini na anaongea vitu logical..
It will make sense ku tape potential yake badala ya kumuacha azeeke na maarifa yake na Tanzania hii kama unavyojua mtu kama hayuko kwenye nafasi Huwa hapewi forum ya kuheshimu mawazo yake Kwa sababu watu wanahusudu ubinafsi kuliko maslahi ya Nchi..
Nani asiyejua kiburi, majivuno na dharau za Mwongo?Kwa hiyo umemsikiliza ukakuta anachoongea ni uongo au mnakuwa na shida zenu binafsi zingine?
Yanahusikaje na mawazo yake? Jikite hukoNani asiyejua kiburi, majivuno na dharau za Mwongo?
Huyu mwenye kiburi anayesema yeye ndiye msomi mtalaamu peke wa miamba na kwamba alirithishwa unguli huo na mzungu?Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini..