Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
...
Lissu ameshatoa msimamo kuhusu ushirikishwaji wa Chadema kwenye uongozi. Kwa kifupi amesema utakuwa ni ujinga kukubali kupewa vyeo ambavyo wanakuwa kama wanasesere, wanategemea kuteuliwa (na kutumbuliwa na rais).Sema awahonge vyeo, ila nitamdharau sana Mbowe kama atakubali hivyo vyeo vya kitapeli.
Lissu ameshatoa msimamo kuhusu ushirikishwaji wa Chadema kwenye uongozi. Kwa kifupi amesema utakuwa ni ujinga kukubali kupewa vyeo ambavyo wanakuwa kama wanasesere, wanategemea kuteuliwa (na kutumbuliwa na rais). Amesema hii ni kama kubariki kushiriki kwenye uozo. Sidhani kama hata watu wanatakiwa kwenda mbali kujua madhara yake bali ni kuangalia kinachotokea Zanzibar sasa hivi au kilichotokea Kenya kipindi cha Odinga akiwa waziri mkuu. Anayetaka kusikiliza kwa kirefu link hii hapa chini
Ni kwa nini Hawa watu wa ccm wanawaza sana vyeo vya kuteuliwa? Ikiwa mbowe na Lissu walihitaji hivyo vyeo si wangeshavipata tokea awamu ya mkapa?Kabisa, na watawala wa kiafrika ni wazuri kwenye kuhadaa viongozi wa upinzani wasaka maslahi binafsi.
Mkuu hapa unamaanisha huyo wa juu au chini?Hapo kuna mmoja ndiye ana deserve hicho chao maana tayari ni muumini
Dharau yako haitakuwa na madhara yoyote kwake.ila nitamdharau sana Mbowe kama atakubali hivyo vyeo vya kitapeli.
Process za uwaziri mpaka wawe wabunge kwanza mkuu.Kha yaani umeona level zao ni ukuu wa mkoa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkono 💯💯Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zito Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma.
Na Lissu naye atakuwa nani...?Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zito Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma.
Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la kudumisha amani, umoja na upendo zaidi kwenye nchi yetu.
Dharau yako haitakuwa na madhara yoyote kwake.
Kha yaani umeona level zao ni ukuu wa mkoa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]