Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
duh!! yani Zitto Kabwe naona unapambania ugali kwa kwenda mbele, hutaki kabisa kwenye serikali hii ya mama upitwe bila shavu, endelea kujipigia debe mkuu, wanaweza wakakufikiria.Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zito Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma.
Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la kudumisha amani, umoja na upendo zaidi kwenye nchi yetu.