Rais Samia, ikikupendeza tunaomba uwateue hawa wapinzani katika Serikali yako

duh!! yani Zitto Kabwe naona unapambania ugali kwa kwenda mbele, hutaki kabisa kwenye serikali hii ya mama upitwe bila shavu, endelea kujipigia debe mkuu, wanaweza wakakufikiria.
 
Majemedari hawa hizo nafasi zinawafaa, na watazimudu vizuri.
 
Ni kweli kabisa.
Hahahaha.. mkuu ww huwa na misimamo sana. Laiti viongozi wa vyama vyote vya siasa wangekuwa na misimamo kama yako. Nina imani vyama vyao vingekuwa mbali sana. Lakini cha kusikitisha 80% ya viongozi hao ni vigeu geu. Leo wanapanga hili au wanaongea hili, kesho wanapanga lingine au kuongea vingine.
 
duh!! yani Zitto Kabwe naona unapambania ugali kwa kwenda mbele, hutaki kabisa kwenye serikali hii ya mama upitwe bila shavu, endelea kujipigia debe mkuu, wanaweza wakakufikiria.
😷
 
Wafanya hivyo ili watekeleze Sera zao au Sera cha Chama wanachokipinga ? Au hakuna tofauti ya hivi vyama bali ni platform ya kutokea ?

Anyway Ugombea Binafsi tu ungekuja..., Sometimes you are neither left or right or any of the above...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…