Rais Samia ili ku-deal kisawasawa na watu hao, unda Tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya MKIRU, kina Ben Saanane, Azory, kushambuliwa kwa Lissu

Ameshachelewa kesi zilishafikishwa kwa Mungu.
 
Hizo silaha za Nyuklia zina wakati wake.... ila kwa sasa huo ujanja hana. Anahitaji kanda ya ziwa 2025, kina ngosha wakimgeuka atapata tabu sana. JK walimtesa sana 2010.

Kanda ya ziwa ipi, Magufuli mwenyewe ilibidi anajisi uchaguzi 2020 ili atangazwe mshindi kwa shuruti. Kama kweli alikuwa anategemea hiyo kanda ya Ziwa kipi kilimfanya apore uchaguzi?
 
Kamuulize Joyce banda wa malawi ndio uje, kinana wa 1995 sio wa 2025 keshaanza kuchoka
Nani anategemea box la kura, Magufuli kashapanda mbegu ya kutoheshimu box la kura, sasa sijui unamtisha nani. Vinginevyo maana mnasema mko wengi muingie mtaani. Juzi si kumefanyika uchaguzi ndani ya ccm na Kinana aliyembagaza Magufuli kapata kura 100% na sukuma gang mlikuwa ndani mbona hamkufanya lolote?
 
Mama kawa mpole sana mpaka mnamshika sharubu. Ila tatizo la Mama kaja kuwa kama vile yeye hakuwa sehemu ya Dkt Magufuli
Hakuwa sehemu ya Magufuli, yeye alikuwa makamu wa rais kwa mujibu wa katiba. Waliokuwa sehemu ya Magufuli ni kina Makonda, Sabaya, Kalemani, Mpina, Ndugai nk.
Ja
 
Kamuulize Joyce banda wa malawi ndio uje, kinana wa 1995 sio wa 2025 keshaanza kuchoka
Usifananishe nchi yenye demokrasia Malawi na takataka tuu.. ambayo wapiga kura wanaamua nanini awe raisi sio wahesabu kula ..
 
It seems SUKUMA GANG is better and more giant than CHADEMA. Nashauri CHADEMA na CCM waungane dhidi ya hiyo SUKUMA GANG.
 
Kanda ya ziwa ipi, Magufuli mwenyewe ilibidi anajisi uchaguzi 2020 ili atangazwe mshindi kwa shuruti. Kama kweli alikuwa anategemea hiyo kanda ya Ziwa kipi kilimfanya apore uchaguzi?
Mkuu fuatilia data za uchaguzi, kanda ya ziwa kuna watu wengi mno, kati ya wapiga kura 10 kuna 4 kutoka kanda ya ziwa.

Hilo la 2020 ni tamaa tu za Magu kutopenda kushindwa lakini lake zone inatosha kabisa kumpa ushindi. Hivi sasa kuna propaganda kali sana inaenea huko, kwamba Magu aliondolewa. Mama mwenyewe yuko worried na hiyo propaganda, ana mwaka mmoja madarakani, amekwenda Kanda ya ziwa mara nyingi kuliko maeneo mengine.

Hapa tunaiga story za mtandaoni, ila ground kuna tofauti
 

Kwa taarifa yako huko kanda ya ziwa ni 50/50 kati ya ccm na upinzani. Naona unaongea kama vile kura za huko Magufuli au ccm walikuwa na hati miliki nazo. Mama amekwenda kanda ya ziwa sio kuomba kura, bali kwa shughuli za kiserikali. Kama kweli ccm wanaamini kanda ya ziwa ni ngome yao, waibe kwingine, kisha hizo za kanda ya ziwa zihesabiwe kihalali kisha ulete mrejesho. Utashuhudia ukweli utakaokuumiza.
 
Ndio ilivyokuwa ila wakati wa Magu mzani ulibadilika. Kanda ya ziwa iligeuka yake, ila muda utasema
 
Naunga mkono hoja.....!!!
 
Mbona mauaji ya JPM UJAWEKA [emoji849][emoji849]
 
Ndio ilivyokuwa ila wakati wa Magu mzani ulibadilika. Kanda ya ziwa iligeuka yake, ila muda utasema

Akidhibiti vyombo vya habari na akazuia siasa za ushindani, ulitumia kipimo gani kujua ukweli huo? Angeheshimu wangalau box la kura tungeweza kujua kukubalika kwake eneo hilo. Sasa hizi propaganda zake ndio umeona ni kipimo cha yeye kukubalika huko?
 
Kumbuka 60% ya wa tanzania ni was Ukuwa and alliance
Kweli cdm imepotea kabisa.Mpaka salary slip anakuwa mshauri wa CCM Msoga.?Labda nikwambie tu ,Magufuli Ingawa ni marehemu anakubalika kuliko mama aliye hai.Take my word.Hata ikichunguzwa inaonekana Ni kweli.Watu watazid kumdharau huyu mama.Halafu huyu mama atajichunguza vip wakati na yeye alikuwa serikali?Kwanza yeye ,Mpango,Majaliwa wapishe kwanza.
 
Lakini wakati huohuo ukumbuke alikuwa makamu wa Rais! Najua majibu hayatakuwa Magufuli alibeba bunduki kuyayafanya hayo,na Kama itkuwa serikali ulifanywa yeye anajinasuaje? Mnamfundisha achukue kisu ajichome mwenyewe? Watanzania mnatabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…