Rais Samia ili ku-deal kisawasawa na watu hao, unda Tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya MKIRU, kina Ben Saanane, Azory, kushambuliwa kwa Lissu

Akidhibiti vyombo vya habari na akazuia siasa za ushindani, ulitumia kipimo gani kujua ukweli huo? Angeheshimu wangalau box la kura tungeweza kujua kukubalika kwake eneo hilo. Sasa hizi propaganda zake ndio umeona ni kipimo cha yeye kukubalika huko?
Tunaweza kubishana sana, lakini ukweli ni kwamba chembe chembe za ukabila zipo!
 
Yote hayo yatabainika. Elewa kuwa bwana yule aliibadilisha kabisa system na kuweka watu wake, aka sukuma gang, kila sehemu. Hata hao ma judge kama unakumbuka aliwateua kama upupu wakati wake.

Kwanza wanadhibitiwa wale vingunge wake, kama Ndugai, na wale wawili waliohamishiwa Ikulu, kudhibitiwa vizuri. Na mouthpieces zake kama kina Bashiru na Polepole na vibaraka wao kama kina Musiba. Henchman wake nao wameanza kudhibitiwa, kama vile Sabaya na mwezake wa Dar. Bado wapo wapuuzi wapuuzi wake wengi kwenye majeshi yetu, ni lazima wadhibitiwe taratiibu. Ni kazi itayochukua muda kwani wapo wengi sana na haiwezekani kukurupuka na kuwadhibiti wote kwa pamoja, mdogo mdogo.

Mama anaupiga mwingi.
 
Mama Yako kafeli vibaya na aonesha bado anafeli vibaya ku delivery maendeleo hizo siasa za chuki akafanye huku maendeleo yawepo sio bla bla tu na hatuon la maana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…