DOKEZO Rais Samia ingilia kati rushwa zinazofanywa na hakimu wa wilaya Chato. Mkurugenzi wa PCCB amefeli kuchukua hatua. Ni juu ya uvuvi haramu Rubondo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote.

Rushwa zinafanyika hadharani. Kaburu ndio wakala wa huyu hakimu mfawidhi. Wavuvi haramu wanaoingia kisiwa cha Rubondo wanaumia kwa kukosa ruswhwa za kumhonga huyu hakimu.

Kwa nini PCCB mkoa Geita wanalijua hili suala, na hata Pccb Makaoa makuu wanalijua na hakuna hatua zinazochukuliwa?
 
Ebu ongea kwa kituo ili tukisikilize vizuri hoja yako!!
 
Back
Top Bottom