Rais Samia itakuwa double standard kama hutatoa msaada Mississippi USA

Rafiki wa kweli wa waafrika ni China na Urusi
wengine wapo kujificha tu wasionekane maovu yao.....
Kaangalie nani anaetoa misaada zaidi Africa + kuikopesha zaidi Africa ndo utamjua rafiki wa kweli,
Sio kumezeshwa maneno na Dictator Nyerere

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Enzi za JPM alijinadi sisi TZ tutakuwa donor country, ajabu sasa si Kagera wakapata maafa ya tetemeko, serikali ya JPM ikashindwa kutoa msaada, mbaya zaidi na ukatili usio kifani akachukua misaada hata iliyotolewa na wahisani na watu mbalimbali na kuelekeza sijui wapi.

Maajabu ya dunia hii ni mengi sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amkabidhi kabisa Dala 1000,000 ili aende nazo!
 
Kenya jirani wanakufa na njaa mpaka mifugo inakosa maji inakufa hovyo
Mpaka wanyama pori wakikatisha kwenda huko wanakufa kwa kiu na njaa

[emoji631] mbona mbali sana Kuna majanga Kenya tuwahurumie hao kwanza
Wale Wakenya wajeuri na wajuaji sana,wacha wapambane na hali yao!
 
Hawa Wapiga kura tutashughulika nao baadaye,Mama anafungua nchi kimataifa kwanza!
 
Naunga mkono hoja, tuwasaidie ndugu zetu wa mississipi pale hata ka 10Bil tuwafute machozi...
 
Hapangiwi hata aliko toa akupangiwa. Kila mtu ashinde mechi zake
 
Wale Wakenya wajeuri na wajuaji sana,wacha wapambane na hali yao!
Na sasa ndio wamelikoroga kabisa!
Wamebeba mpaka kondoo za Uhuru [emoji1]
Kweli wacha wajibebe
Kuna mda unahurumia mifugo kuliko wao
 
Marekani anatuibia kupitia barrick na acacia nk...hapati msaada
 
Mississippi kumejaa wabaguzi huko hakuna haja ya kuwapelekea msaada, ingawa black wengi wapo lakini nomaa huko. Pia kumbuka Marekani mwizi wa dunia hahitaji msaada mwizi yule. Sasahivi anaiba Haiti kule madini ya gold na copper
 
Kamala anakuja kutuambia na kutusisitiza tuwe mashoga. Kutuliza upepo wa Uganda unaosambaa Africa.

Mke wa Biden juzi kati alikua Kenya kutuliza Hali.

Wanahitaji sisi tukulane wakiume kwa wakiume.

Wao ushoga Ni haki.
 
 
Nashauri asije kwanza amalize shida ya watu wake nasi tutakuwa tumejipanga, kwasasa ni ghafla mno
Marekani sio sehemu ya siasa za kiki kuwa matatizo ya nchi yanamalizwa na kiongozi, au mambo ya fedha za rais. Huko mifumo ndio inafanya kazi. Hata angekaa nje ya US kwa miaka miwili, bado angekuta matatizo yametatuliwa.
 
Kaangalie nani anaetoa misaada zaidi Africa + kuikopesha zaidi Africa ndo utamjua rafiki wa kweli,
Sio kumezeshwa maneno na Dictator Nyerere

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Usidanganywe na umasikini wako ukahasau utu wako;
Huyo Rafiki yako kapiga vita Nchi ya Iraq sasa hivi haitawaliki kajitetea kuwa alikosea;
Kapiga tena Nchi ya Libya sasa hivi haitawaliki kasema tena alikosea
Sasa hivi yupo mstari wa mbele kutetea kile kilicho angamiza sodoma....Bado umelalal tuuu!
Lakini; kama aliweza kupiga Nchi mbili kwa makosa na sasa watu wanauana hovyo kwa kukosa amani; kwa nini viongozi wake hawajapelekwa The Hague?
Au ile cort ni ya weusi tu??? kwa ubaguzi huo mtu mwenye maarifa hawezi kuwaita marafiki ila kwa sababu sisi ni masikini ni KUISHI NAO KWA AKILI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…