Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Kaangalie nani anaetoa misaada zaidi Africa + kuikopesha zaidi Africa ndo utamjua rafiki wa kweli,Rafiki wa kweli wa waafrika ni China na Urusi
wengine wapo kujificha tu wasionekane maovu yao.....
Sio kumezeshwa maneno na Dictator Nyerere
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app