Rais Samia itisha Press, ongea na Taifa kutuliza hali ya hewa

Endeleeni kujitoa fahamu huku mitandaoni,mitaani Hali ni shwari watu wanafaidi maendeleo ya Mama Samia
ila kuna watu wanazuiwa kuabudu, makanisa zaidi ya 2000 yamefutwa, watu wanahangaika, hawafungi ndoa, hawazikani, hawaabudu, kwa sababu tu ya kiongozi wao kukosoa uuaji na utekaji. kama mnaona amekosea yeye, kwanini mnaadhibu raia ambao wengine hata hawajui kama gwajima aliongea chochote wapo huko remote vijijini hata smartphone hawana. kwa nini mnafanya hivyo?
 
Hayo mambo gani, hayo mambo yako kwenye akili nenda ukaombewe. Usijitengenezee matatizo ambayo hayapo huo ni uchuro.
 
We bwege unamtishia Rais wetu au? Lissu ni mhalifu we kenge subiri uamuzi wa mahakama.
 
kwa hio unafikiri dunia nzima ni vijiji vya Tanzania
 
Huyo ana shida kwenye akili yake
 
W
hicho kikao walichokaa wazungu jana, ukiona wameweka resolutions, wataziweka ngumu, vikwazo na shida ambazo raia wa kawaida ndio wataumia. mark my words. unasema ni mitandaoni ila hata mtaani watu hawaridhiki.
We kafanye mambo yako Tanzania ni nchi huru
 
Si luka keshajibu tena akibubujikwa na machozi mkuu?
Kuba haja gani tena ya press
 
Samia awezi kushinda uchaguzi hata lissu angekuwa mfu ...samia hawazi kushinda uchaguzi hata akigombea peke yake urais ....hii ndiyo sababu samia kaamua kujitangaza rais
 
Hiyo hali ya hewa iko kwenye akili yako. Pumbavu lisilo na aibu. Watu tupo mitaani tunachapa kazi ktk hali tulivu kabisa na ht hakuna mtanzania anayewazungumzia hayo malofa, nani anamzungumzia Polepole, wapi tuleteeni ushahidi. Mpumbavu moja tu amekaa anaturushia matope km haya.
 
Subiri wapite akina Lucas Mwashambwa,Tlatlah,Chiembe na kundi lao wataona mawazo na maoni yako ni kama matusi.
 
Huyo amezoea mipasho kama ya taarabu vitu virahisi vya kiswahili visivyokuwa na madhara katika jamii,muache jumba bovu limuangukie
 
Mwanadamu aliumbiwa kiburi toke enzi za firauni,linapomkuta la kumkuta huwa anaishia kuijutia nafsi yake,hivi unazani utawafanyia ubaya wenzako kila siku na wewe ukabaki salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…