Rais Samia itisha Press, ongea na Taifa kutuliza hali ya hewa

 


SASA SAMIA UNADHANI ATAONGEA NINI?
 
Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali.
Ndio.
 


Wewe ni mwongo mkubwa. Ukienda maeneo ya vijijini, tena kwenye makundi ya wanaCCM, ukiongea na watu 10, ukawapata hata watu 2 wanaomsema positively, una bahati sana. Tena hata katikati ya wanaCCM, jina lake linatajwa kwa ubaya.
 
Nenda Sudan Kusini uone watu wanavyopotezwa kila siku. Nenda DRC uone watu wanavyouwawa kila kukicha.

Nenda Marekani uone wingi wa kesi za mauaji ya miaka ya nyuma ambazo bado zipo wazi mpaka leo.

Punguzeni roho ya uoga mkiwa bado mnapumua. Kichekesho ni kwamba mnaolalamika mauaji na kupotezwa watu ndio wa kwanza kuja na kauli za 'kinuke', punguzeni roho za uoga.

Usinitishie kifo mkuu, leo asubuhi nimehudhuria misa ya kwanza hapa mbezi beach St Thomas More.
 
Ukiwa umeshika simu, vidole vyako vya kuchapa andiko na macho yako ndo yanaona hatari...

TUNDU LISU SI WA KUACHIWA, TUNDU LISSU SI KUACHIWA..
mahakama isimamie sheria kila mtu apate haki yake ya msingi kama ambavyo watanzania wengne wanapata haki zao mahakamani..

kupitia kukinukisha ni watanzania wangapi wangekufa?

kupitia uasi, ni watu wangapi wangekufa?

DPP peleka kesi mahakama kuu, kila upande upate haki yake..

NI AFADHALI KULA KIDOGO WAKATI WA AMANI KULIKO KUSHIBA SANA WAKATI WA VURUGU!
 
Huko vijijini muitikio wa "No Reform No Election" Umekuwa mkubwa zaidi?🤔
 
Labda mwingine akiongea hasa Makamu Rais, Waziri Mkuu ama Naibu Waziri Mkuu, walau watu wanaweza kwa mbali kuelewa na sio huyu wa mipasho yake, asiyejali maisha ya binadamu, anayedriki kusema kifo ni kifo na kuendelea kuligawa Taifa kwa misingi ya udini kwa kukandamiza uhuru wa kuabudu kwa upande mwingine kwa kisingizio cha amani ili hali haki haipo. Labda hiyo hutuba iwe kwa wanachama wa kijani tena wale wenye fikra mgando
 
ndio naomba Mungu na wewe upotezwe ili mfanane na hao wasudan na nchi ulizotaja ila sisi wenzio tunatamani kuishi na tutaishi kwa Jina la Yesu. akili yako ni sawa na mtu anayesema nyumba ya jirani wanakunya sebuleni hivyo na wewe ukinya sebuleni sio ajabu. umejaa matope matupu kichwani.
 
ngurumo atulie, yeye kama mkimbizi apatane na waongee lugha moja na mkimbizi mwenzie, manake wazungu washampa ukimbizi polepole na wanaona polepole ana faida kuliko ngurumo, akianza kuchafua mipango ya wazungu, yeye ngurumo watamrudisha bongo aje apambane na hali yake. mark my words.
 
WE JAMAA UKO NDANI KABISA..
KWENYE CHAMA
trust me, sijawahi kuwa mwanaccm tangu nizaliwe, ila naipenda sana Tanganyika, na nahofia maisha waliyoishi watanganyika kipindi cha magufuli kwasababu ya kugombana na wazungu, yanakuja hivi karibuni, yale maisha magumu, najaribu kumshauri pengine atabadilika ili tuendelee vyema.
 
Nakiri kulisoma andiko lako, nakupongeza, umeandika kwa moyo wa kizalendo sana, una mapenzi makubwa sana na nchi yako. Ni ushauri mzuri sana, bahati mbaya tu aliyeshauriwa kupitia taasisi anayoiongoza wanaweza wakaona ushauri huu kama uchafu na kuutuputilia mbali. Ungekuwa umeutoa kwa njia ya press kama akina Gwajima wangetafutwa wahuni kama akina Steve Mengere, Jerry Muro nk waje kuukejeri. Ila hongera
 
Umeshauli vizuri Sana mkuu.

Nimerudia mara nyingi kusoma huu USHAULI wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…