Ushauri wa kijinga tuUshauri mzuri sana.
Hebu toa sababu japo mbili tatu.Ushauri wa kijinga tu
Unamjua Retired wewe, hususan wakati wa JPM na shombo zakeHebu toa sababu japo mbili tatu.
KamaSamia anachukiwa na baadhi ya watu mpaka anasemwa kwa aliyofanya na ambayo hajafanya.
Huyo jamaa kauza sana roho za genZAngalia upendo wa Raia wote ( naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.
TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!
Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
Very importantPia ajitahidi aache alama,kwa kutupatia KATIBA BORA
Kumbe ni Rais wako mpendwa! hahaahhaaa we inabidi utekwe haraka sanaAngalia upendo wa Raia wote ( naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.
TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!
Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
Juzi nimekuta hii story ina trend X kutoka kwa akaunti ya Tanzania Leaks.Kama
Amegundua kuwa ukisifia hutekwi kama Lema mwenyewe anamuomba raisi wetu mpendwa amuweke gerezani hadi baada ya uchaguzi 😆Kumbe ni Rais wako mpendwa! hahaahhaaa we inabidi utekwe haraka sana
Ukiwa kiongozi kubali Kutupiwa kila Uchafu na inatakiwa hekima na busara ikutawale kwenye maamuzi yako bila kuwa na mihemko au hasira. Kwa tatiba yetu Rais yuko juu ya kila kitu. Tanzania itapata maendeleo siku ikipata katiba Mpya. Hata mimi ya BOT kuprint not nilikataa maana vibali vya kuprint noti sio rahisi ivyoJuzi nimekuta hii story ina trend X kutoka kwa akaunti ya Tanzania Leaks.
Inasema Rais Samia kampiga pini Jaji Joseph Sinde Warioba nyumbani kwake, asiongee na waandishi wa habari.
Nikasema hawa watu wa familia ya Warioba nawajua muda mrefu, najua wengine hawapendi maongezi ya siasa, lakini hili ni jambo muhimu.
Nikamtafuta mtu mmoja wa ndani kabisa kwenye familia, nikamuuliza vipi hii habari?
Akasema hakuna kitu hapo, huu ni uzushi tu.
Jamani wanaharakati kama mnataka kumsema Samia ana mambo lukuki ya kweli ya kumsema, kumzushia uongo kunaondoa kuaminika kwenu tu.
View attachment 3490274