Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

Mnachosahau kuwa Rais ni binadamu kama wewe na mimi. Sio roboti kwamba kila neno utakalomrushia akaushie tu. Wewe ukirushiwa maneno ya hovyo kila mara utakubali? Pia heshima ni kitu cha bure. Jinsi unavyoheshimu wakubwa huko kwenu jitahidi kumheshimu Rais yeye binafsi.
 
Hivi unadhani huyo Raila alitenda mema sana?? Je umesahau mauaji baada ya uchaguzi wa 2007? Watu walichomwa kwenye kanisa?
 
Ajifunze? Hivi Hawa ccm kwanza wa kipindi hiki ..hii ccm mtandao wanaamini Kuna kufa? Hawa Wana uwezo hata wa kumpa Mungu rushwa ili wapewe uwezo wa kuishi milele waendelee kula raha na kufanya najis kwa nchi
 
Mkuu unafikiri yote mabaya yote anayosemwa Nyerere huwa kayafanya? Au mabaya yote anayosemwa kikwete unafikiri kayafanya? Mabaya anayosemwa magufuli unafikiri yote kayafanya?

Hata mazuri unayoyasikia kuhusu kikwete, magufuli au samia sio kuwa yote ni ya jweli

Kwene mitandao kuna watu wa kila aina. Huyo mwenye hiyo page hata hajulikani ni nani, anaandika tu anachoamua. Hata huku pia mtu anaweza kuandika lolote
 
Chura.kixiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…