Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Akisusa wenzie walaAmesusa🏃🏃🏃
Hujui kusoma au unaishi mapangoni?Unafki huo,kwani wamesema hayupo
Likichwa tu!
Likichwa tu likubwa....Hujui kusoma au unaishi mapangoni?
Wewe utakuwa na hamu sana ya kupewa likichwa likubwa, unalitaja sanaLikichwa tu likubwa....
Mnachezewa vibaya sana na watu wa propaganda na wazushi,hivyo ndivyo Utawala unapenda Ili upate mda wa kujipanga.Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Mkuu kwa tuliyoshuhudia 2021 kuna vitu serikali inaviita propaganda halafu vinageuka kuwa kweli. Tulishaumwa na nyoka, tujiona jani tunastukaMnachezewa vibaya sana na watu wa propaganda na wazushi,hivyo ndivyo Utawala unapenda Ili upate mda wa kujipanga.
Spinning ni gani pia
View: https://www.instagram.com/p/DMVDFqAqxho/?igsh=cWRmYjExNjRsaDFj
Kwani wewe saizi umesikia nini? Uzushi wa mawakala wa kina slow slow au kipi?Mkuu kwa tuliyoshuhudia 2021 kuna vitu serikali inaviita propaganda halafu vinageuka kuwa kweli. Tulishaumwa na nyoka, tujiona jani tunastuka
Naishiwa pawaMnachezewa vibaya sana na watu wa propaganda na wazushi,hivyo ndivyo Utawala unapenda Ili upate mda wa kujipanga.
Spinning ni gani pia
View: https://www.instagram.com/p/DMVDFqAqxho/?igsh=cWRmYjExNjRsaDFj
Kwani umeingia kujibu thread bila kuisoma?Kwani wewe saizi umesikia nini? Uzushi wa mawakala wa kina slow slow au kipi?
Kumbe ni kweli alirudi Kizimkazi?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
View attachment 3412089
Uwe makini na stori za mitandaoni mambo Huwa haiko hivyoKwani umeingia kujibu thread bila kuisoma?
Not this time. Samia right now is suffering from anger, anguish and depression. She is in total disbelief seeing even the closest friends are now spitting fire against her.Mnachezewa vibaya sana na watu wa propaganda na wazushi,hivyo ndivyo Utawala unapenda Ili upate mda wa kujipanga.