Rais Samia jitokeze hadharani useme lolote ama tukuone tu na roho zetu zitulie

Kwa jinsi hali ilivo tense ameenda kizimkazi kufanya Nini Tena jamani, Huu ni muda wa kuwa Dodoma na dar tu
 
Majizi na mafisadi wa Mali zacumma,mnaweweseka
 
Utamuona tu hivi karibuni akiwa na orodha ya wagombea ubunge Nchi nzima na kupiga kupenga Cha mchakamchaka wa kampeni za uchaguzi Nchi nzima.

Wakati wengine wakiendelea kuota mchana.
 
Reactions: Ame
Picha za leo hizo alipozungumza na mamiss na viongozi wa Kampuni ya Miss World Limited, Zanzibar. Mhe. Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1753013055220.jpg
    258.2 KB · Views: 16
  • FB_IMG_1753013064189.jpg
    104.8 KB · Views: 15
  • FB_IMG_1753013079500.jpg
    142.9 KB · Views: 16
Kama kweli yupo Kizimkazi basi kuna jambo halipo sawa... Tulitarajia awe Dodoma kama Mwenyekiti wa Chama katika Mchujo unaoendelea wa Wabunge, ambapo tumeambiwa wapo wengi na kazi ni ndefu itaendelea mpaka 28 July...
 
Nawe acha uchurk wa kusenge, Rais si alizindua DIRA 2050 tarehe 17.07.2025 ambayo ni juzi tu Alhamisi akiwa na bashasha? Mungu awasaidie tu mnaombea binadamu wenzenu mabaya kila siku utafikuri nyie ni wa milele. Hayo mabaya yatawapata ninyi si Rais wetu mpendwa, mambwa koko tu nyie. Kuharisha hicho imekuwa uzushi, kutaka kutengeneza taharuki isiyokuwepo. Bahati nzuri wanaopitia hii mitandao ni wachache sana, huku uraiani nchi imetulia watu wanachapa kazi km kawa. Mi napanda basi kila siku Km 60 kwenda na kurudi huwezi sikia watu wanajadili upuuzi wowote ulio ktk hii mitandao. Watu waliomo humu ni wa aina yake hawapo ktk uhalisia wapuuzwe. Rais wetu piga kazi km unaweza acha kufuatilia hii mitandao, hii ni artificial society, haipo kiuhalisia na hakuna mpiga kura huku. Taarifa sahihi ipo kwenye vyombo vya habari halisi km ITV, TBC, Star TV na vingine km hivyo. Mi mwenyewe nna mpango kuachana na hv vimitandao si vizuri kwa ht afya ya akili.
 
Walidai Jiwe yuko hai anachapa kazi ndiyo maana wanataka tu ajitokeze japo kiduchu ili roho zao zitulie then wamuulize kulikoni akaondoka na ndege ya raia kurudi taifa jirani la Zanzibar? Why avoiding the presidential jet?
Walidai hivyo waliotoka hadharani ila saizi ni mitandao.

Usiwe unadandia stori za mitandaoni.
 
Not this time. Samia right now is suffering from anger, anguish and depression. She is in total disbelief seeing even the closest friends are now spitting fire against her.
Mwanamke ana uwezo wa ku digest hayo yote tofauti na mwanaume ambae angekuwa ameanguka kwa pressure au kajinyonga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unataka aende sokoni kaliako,Mama mzima anapiga kazi mitano tena,maana machawa wasije kufa na presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ