Rais Samia jitokeze hadharani useme lolote ama tukuone tu na roho zetu zitulie

Walidai hivyo waliotoka hadharani ila saizi ni mitandao.

Usiwe unadandia stori za mitandaoni.
Whilst you’re doing the very similar πŸ’©shit, unaendeleza your version of the story mtandaoni. Iendelee kuwa vague mpaka picha halisi itakapojulikana.
Pekee ambacho kiko proved ni kuwa karudi kwa passenger plane and nobody knows the reason.
 
aisee.
 
Si ajitoleze jaman au ajiuzulu tu
 
 
Kwahy hapo kipi Cha ajabu Ajitokeze kufanya Nini wakat ushaambiwa alipanda ndege
Mama yupo salama na anaendelea na majukumu yake
 
Dah, haters wanaumbukaje!! Hakika kama alivyowahi kusema Dr Janabi kuwa "haters wa Mama Samia Suluhu Hassan hatarini kujifungua kabla ya wakati".
 
Wanachapa kazi na nini mbona wewe kutwa kumuomba lisuu mabaya shubamit ww
 
Mbona nchi imetulia zaidi kwa yeye, wala chawa wake kusumbua waTanzania?
Abaki huko huko milele Ukimtaka, kamchukue ukae naye nyumbani kwako.kama Pambo.
 
Not this time. Samia right now is suffering from anger, anguish and depression. She is in total disbelief seeing even the closest friends are now spitting fire against her.
Wasome vizuri chawa wote waliomo humu JF; sasa hivi kila mmoja wao ni tumbo moto na kuharisha kusiko na ukomo. Wasome vizuri.
 
Wasome vizuri chawa wote waliomo humu JF; sasa hivi kila mmoja wao ni tumbo moto na kuharisha kusiko na ukomo. Wasome vizuri.
On contrary, nyumbu ndiyo mmezidi kupoteana.......Sasa hivi hamna nrne Wala tone tone, kimyaaaaa mmebaki kupambania ccm tu Sasa🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mimi Samia (Mama Abdul ) kesho nitakuwepo manzese uwanja wa fisi jioni nikijivinjari na mishkaki......njoo utapiga picha na Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…