Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
>>>I don't fight for the money. I fight for my legacy. I fight for history. I fight for my people and country.
>>>Legacy is not what I did for myself or my family. It's what I'm doing for the next generation of this country.
Mstaafu kastaafu wananchi pamoja Rais Samia wamemstaafisha .
Rais Samia kaamua kutengeneza kumbukumbu yake kwa vizazi vijavyo
Kaamua ku move na watu watakao msaidia kutimiza lengo lake .
2030 hope atastaafu ,Mungu akimjalia kuishi miaka 20-30 mbele afurahie alicho kifanya .
Ni jambo zuri ila asisahau KATIBA MPYA NDIYO LEGACY KUBWA KULIKO ZOTE KATIKA HII NCHI INAYO NUKA UFISAFIDI KILA SEHEMU.