Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
System haiwezi kutema raia, kelele za raia zikizidi hata hiyo system huwageuka watawala. Usikariri, system huwa haimilikiwi. na mtu, watawala waliodhani system iko mifukoni mwao huishia kujutaMnajifariji buree tu na askofu uchwara mnajipendekezaa bure tu system imewatema Chadema kama huamini subiri sasa
mkuu upumbavu wako ndio umekulemaza hutaki kufikiri tena.Soma kauli mbili za RPC Mwanza ambazo ZINAPINGANA
Kauli ya kwamba ni amri kutoka Rais
Kauli ya pili ni Chadema haikuomba kibali.
Bila ya shaka huyo RPC kama ilivyokuwa kawaida ya polisiccm anasema uongo katika kauli moja au zote mbili na Katiba ya nchi haisemi chama cha upinzani chochote nchini hakiwezi kufanya shughuli zake bila kibali cha polisiccm huo ni udikteta uliokuwa created na maccm.
Mkuu unahitaj kujua kuwa nchi haiongozwi na rais Bali na RAIS..Mimi naona kama huyu anayeitwa mama kama haelewi kinachoendelea, au tuna Rais pambo tu , sielewi elewi , how comes unaaprove vitu wrongly kama hivi, kwenye tozo za miamala ni moja ya maamuzi ya kijinga kuwah kutokea ... si Bora uongeze jero kila muamala ..
Mkuu c unapenda mawazo huru, siku nyingine mtu akikujib vibaya yamaza kumjib kwa jib lisilo na staha unaweza kuwa Kama mtu anaeoga kwenye zile bafu zetu za uswaz, halafu chiz kapitia nguo, mtu hyo akatoka bafuni kumfumkuza chiz...Wapuuzi kama wewe ni hasara kubwa kwa Taifa.
Acha ushamba ,mnataka kurudishwa enzi za kuporwa hela ?binadamu sijui mkoje ?kwani umelazimishwa kutuma hele yako kwa njia simu ?Mimi naona kama huyu anayeitwa mama kama haelewi kinachoendelea, au tuna Rais pambo tu , sielewi elewi , how comes unaaprove vitu wrongly kama hivi, kwenye tozo za miamala ni moja ya maamuzi ya kijinga kuwah kutokea ... si Bora uongeze jero kila muamala ..
Una mtindio wa ubongoAcha ushamba ,mnataka kurudishwa enzi za kuporwa hela ?binadamu sijui mkoje ?kwani umelazimishwa kutuma hele yako kwa njia simu ?
Naomba majina matatu ya Askofu Bagonza mkuu.JE NI KWELI KAAGIZWA? NI LAZIMA ASEME?
Sakata la CHADEMA na Polisi huko Mwanza lina harufu ya hujuma zifuatazo:
1. Je ni kweli Mh. Rais kaagiza kongamano lizuiwe?
2. Kama kaagiza kwa nini amuagize RPC badala ya IGP?
3. Je ni kweli RPC kasema hadharani kuwa kaagizwa na Rais au kachomekewa maneno na waandishi?
4. Kama ni kweli RPC amesema kuwa katumwa na Rais, kulikuwa na ulazima wa yeye kusema hivyo hadharani? Uwajibikaji wa pamoja uko wapi?
NIONAVYO MIMI:
Uhuru ni kitu pekee kinachotakiwa kulindwa kwa gharama zozote. Kwa hiyo:
1. Wanaokusanyika kupinga katiba mpya wawe huru kama wanaokusanyika kuunga mkono.
2. Vyombo vya ulinzi vilinde katiba visilinde watu, vyama, wala Viongozi.
3. Kuzuia watu kukusanyika ni kuandaa watu kutokusanyika watakapotakiwa kukusanyika. Matumizi ya nguvu ni tabia ya tawala zisizokubalika (Illegitimate). Utawala wetu unakubalika kwa hiyo ujitenge na matumizi ya nguvu.
4. Zipo dalili pevu za njama na hujuma za kufarakanisha utawala huu na wananchi katika sekta nyingi: uchumi, siasa, usalama, na Haki za Binadamu. Adui wa kwanza wa utawala huu si wapinzani, si awamu iliyopita, NI serikali yenyewe inayoelekea kufarakana na kujianika.
Mama asirithi marafiki wala maadui. Atengeneze marafiki na maadui wake.
Lisemwalo LINAWEZA kuwapo. Ondoa miwani utaliona.
Askofu Bagonza
Hawezi??!
Mkuu, common sense ina-suggest kwamba ni busara kutoku-arrive kwenye conclusion mapema namna hiyo.
Mimi na wewe tunafanya 'hypothesis formulation' tu, ukianza kusema HAWEZI ni sawa na kutaka kusema na wewe ulikuwepo wakati wanapeana maagizo.
Unasahau kwamba kuna kipindi Muroto alikua anavaa 'jungle uniform' halafu chini anavaa viatu vya kawaida vya kipolisi (police shoes) badala ya chini kuvaa yale mabuti (sijui yanaitwaje kitaalamu), IGP akampiga biti, hapa kuna mawili, inawezekana Muroto alikua hajui kupangilia sare za jeshi la polisi au huenda zilikuwa ni ghiliba za nyani mzee.
Sasa tuje kwenye the present scenario, Yamkini baada ya IGP kumwambia RPC kwamba order imetoka kwa Rais, inawezekana RPC hakujua kwamba hakupaswa kumtaja Rais au alipewa maelekezo na IGP kwamba amtaje Rais. Usiseme HAWEZI.
J2 njema mkuu.
Mkuu c unapenda mawazo huru, siku nyingine mtu akikujib vibaya yamaza kumjib kwa jib lisilo na staha unaweza kuwa Kama mtu anaeoga kwenye zile bafu zetu za uswaz, halafu chiz kapitia nguo, mtu hyo akatoka bafuni kumfumkuza chiz...
Sasa Nan hapo chiz mkuu..
(Sometimes salent is pure answer...)
JE NI KWELI KAAGIZWA? NI LAZIMA ASEME?
Sakata la CHADEMA na Polisi huko Mwanza lina harufu ya hujuma zifuatazo:
1. Je ni kweli Mh. Rais kaagiza kongamano lizuiwe?
2. Kama kaagiza kwa nini amuagize RPC badala ya IGP?
3. Je ni kweli RPC kasema hadharani kuwa kaagizwa na Rais au kachomekewa maneno na waandishi?
4. Kama ni kweli RPC amesema kuwa katumwa na Rais, kulikuwa na ulazima wa yeye kusema hivyo hadharani? Uwajibikaji wa pamoja uko wapi?
NIONAVYO MIMI:
Uhuru ni kitu pekee kinachotakiwa kulindwa kwa gharama zozote. Kwa hiyo:
1. Wanaokusanyika kupinga katiba mpya wawe huru kama wanaokusanyika kuunga mkono.
2. Vyombo vya ulinzi vilinde katiba visilinde watu, vyama, wala Viongozi.
3. Kuzuia watu kukusanyika ni kuandaa watu kutokusanyika watakapotakiwa kukusanyika. Matumizi ya nguvu ni tabia ya tawala zisizokubalika (Illegitimate). Utawala wetu unakubalika kwa hiyo ujitenge na matumizi ya nguvu.
4. Zipo dalili pevu za njama na hujuma za kufarakanisha utawala huu na wananchi katika sekta nyingi: uchumi, siasa, usalama, na Haki za Binadamu. Adui wa kwanza wa utawala huu si wapinzani, si awamu iliyopita, NI serikali yenyewe inayoelekea kufarakana na kujianika.
Mama asirithi marafiki wala maadui. Atengeneze marafiki na maadui wake.
Lisemwalo LINAWEZA kuwapo. Ondoa miwani utaliona.
Askofu Bagonza
Uelewa wako ni mdogo sana.. sidhani hata kama unajua kuwa Katiba ndo msingi wa kila kitu kwenye nchi. Pole SanaNchi huwezi kuiendesha kama unavyolea mtoto..
Wafrika wengi hatujitambui ukimpa uhuru atakushika hadi matakoni hiyo haitoshi atakupaka na mafuta kabisa huku akikutolea maneno ya kebehi, hao ndio wafrika.
Hatujui tunachokihitaji kama taifa, hata hiyo katiba wakipewa bado haitowafaa watanzania wengi.
Katiba na tabia za asili za watanzania ni vitu viwili tofauti kabisa. Hizi ni tabia za mtu mfano wizi, rushwa, tamaa na uchu wa madaraka, kiburi, kutojali muda n.k hapo hata kama unakatiba nzuri bado kutakuwa na matatizo mengi kwenye mfumo wa uongozi na kwa wananchi.
Matatizo yetu kama vile:-
Mfumo wa elimu mbovu
Viongozi hawana miiko ya maadili ya uongozi
Kufanya kazi kwa mazoea
Ubinafsi kupitia udini na ukabila
teknolojia duni
Ujinga
Umasikini wa kifkra( hili ni janga kwa taifa)
Maradhi.
Siasa mbovu.
Ushauri wangu
× Bado tuna katiba nzuri japo sio bora sana ya kusifia, tatizo lipo kwa tabia za watu ambao hawafit kwenye hii katiba, hivyo basi tubadili tabia na mienendo yetu kwa viongozi na wanachi kwa pamoja.
Chadem ndio wanaogeseke kwa kupiga makelele ya kila aina. ,ulishawahi kumsikia mzee Warioba akitoa mapovu kama waacdm ingawaje nae ni muasisi wa katiba mnayoigania? Nrother katiba si zao la fujo bali ni mipangoKwa hiyo wanaoteseka ni Chadema tu!! Una ufinyu mkubwa wa akili wewe.
Umekuwa unakesha kwenye mitandao kwa nia moja tu ,kupotosha ,hivi unadhani hao wapuuzi wanaojifanya kupigania katiba wakiongozwa na TONDO (mjinga)mbowe ndio watafanikiwa ? Watanzania sio wajinga hata kidogo.Jitu lenyewe limengangania madaraka ndani ya chama zaidi ya miaka ishirini leo ndio anaongoza harakati kutaka katiba mpya ?nadhani hata kama kuna hitaji la katiba hawa wapuuzi wanaongoza na wanaharakati uchwara ndio wanaoharibu hata umuhimu wa uwepo wa hiyo katiba.
Wanongozwa ni mtu mjinga (TONDO kwa kichagga ) unategemea nini ?Tuna wapinzani wa hovyo sana.
Yaani wanapambania mikutano ya kisiasa Karne hii ya 21??
Chadem ndio wanaogeseke kwa kupiga makelele ya kila aina. ,ulishawahi kumsikia mzee Warioba akitoa mapovu kama waacdm ingawaje nae ni muasisi wa katiba mnayoigania? Nrother katiba si zao la fujo bali ni mipango
Mkuu umeandka vzr mno nadhani Kama nliwahi kumsoma mtu ambae anamaoni mazr kuhusu katiba kwangu binafsi umekuwa1, utofauti mkubwa kwenye katiba si katiba iliyopo ni maadili..Nchi huwezi kuiendesha kama unavyolea mtoto..
Wafrika wengi hatujitambui ukimpa uhuru atakushika hadi matakoni hiyo haitoshi atakupaka na mafuta kabisa huku akikutolea maneno ya kebehi, hao ndio wafrika.
Hatujui tunachokihitaji kama taifa, hata hiyo katiba wakipewa bado haitowafaa watanzania wengi.
Katiba na tabia za asili za watanzania ni vitu viwili tofauti kabisa. Hizi ni tabia za mtu mfano wizi, rushwa, tamaa na uchu wa madaraka, kiburi, kutojali muda n.k hapo hata kama unakatiba nzuri bado kutakuwa na matatizo mengi kwenye mfumo wa uongozi na kwa wananchi.
Matatizo yetu kama vile:-
Mfumo wa elimu mbovu
Viongozi hawana miiko ya maadili ya uongozi
Kufanya kazi kwa mazoea
Ubinafsi kupitia udini na ukabila
teknolojia duni
Ujinga
Umasikini wa kifkra( hili ni janga kwa taifa)
Maradhi.
Siasa mbovu.
Ushauri wangu
× Bado tuna katiba nzuri japo sio bora sana ya kusifia, tatizo lipo kwa tabia za watu ambao hawafit kwenye hii katiba, hivyo basi tubadili tabia na mienendo yetu kwa viongozi na wanachi kwa pamoja.
Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa kwa Taifa. Kwako wewe kupora uchaguzi kulikofanywa na wahuni wa maccm wakishirikiana na polisiccm na Tume FEKI ya uchaguzi ni jambo la kupigia makofi na la kujivunia.
Kama uchaguzi uliporwa mbona yule jamaa yenu aliehamaaisha muandamane kudai haki mlifanikiwa ? Watanzania sio wajinga kama mnavyotaka kutuaminisha jie wahueni wachache chini ya Mwamba mjinga (TONDO)