Rais Samia kabambikiwa sakata la Mwanza?

Kama kabambikiwa ni nani mhusika? Ni mtu mmoja au kikundi cha watu? Kama hakuzia hilo Kongamano la Katiba mpya je atasema hadharani kwamba yeye hahusiki na hilo zuio?
Na zaidi ya hapo, je atawachukulia hatua gani hao waliomsingizia na kutumia jina lake vibaya?

Amandla...
 
Inasemekana mama kaamua liwalo na liwe kwa vile hana mpango wa kugombea 2025 , hana shida na kura zenu , kwanza hamkuwahi kumchagua kapata kindondokela tu
Naanza kuelewa sasa
Ok
Kama ni hivyo basi hana sababu ya kupakaziwa kua anazuia mjadala au mchakato wa katiba mpya kuendelea
Auache uendelee maana huna madhara kwake
Yeye aibe tu aondoke na hakuna wa kuja kumuuliza
 
Hiisiyo katiba nzuri inamfanya kuwa Mungu mtu, hawezi kuteuwa kila mtukuwa kiongozi
 
Anajua kila kitu ndiyo maana hawa polisi wana kiburi
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…