Rais Samia Kagusa TANESCO, TTCL, REA, POSTA. Mbona EWURA hajagusa?

Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.

Tulitegemea EWURA nao waguswe, ila wameguswa wengine, Kuna Nini hapa , mana hata sielewi kabisa, Kilichomponza maharage si kwamba ni mtendaji mbaya Bali ni Kwa sababu ya ukaribu wake na Makamba ambaye naye anawindwa vikali na Sukuma Gang.
Sasa umekosa la kuandika!!
 
You scratch my back I scratch yours
 
Back
Top Bottom