Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo kwenye usiku wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya Utoaji Utuzo za Samia Kalamu Awards Super Dome - Masaki Mei 5, 2025
Kalamu zenu zilinde nchi yetu kalamu zetu zinalinda nchi yetu sawa saw ana jeshi linavyolinda mipaka ya nchi yetu, kwahiyo kalamu tukizitumia vizuri tutakuwa salama, tukizitumia vibaya basi usalama utakuwa aupo namuona Murilo anasikiliza kwa makini sana.