Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
She is in a deep state of denial! Woman take those speech to the kitchen ! No reform no election ! Stop dreaming and get up !Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo kwenye usiku wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya Utoaji Utuzo za Samia Kalamu Awards Super Dome - Masaki Mei 5, 2025
Kalamu zenu zilinde nchi yetu kalamu zetu zinalinda nchi yetu sawa saw ana jeshi linavyolinda mipaka ya nchi yetu, kwahiyo kalamu tukizitumia vizuri tutakuwa salama, tukizitumia vibaya basi usalama utakuwa aupo namuona Murilo anasikiliza kwa makini sana.
🤣 🤣 🤣She is in a deep state of denial! Woman take those speech to the kitchen ! No reform no election ! Stop dreaming and get up !
YOU MUST Go!
You have failed this Nation with zero capacity of Leadership!
⚖️ 🤔Daah kila kitu SAMIA SAMIA SAMIA...
Punde tutasikia tume ya uchaguzi ya SAMIA...
Siku ya uchaguzi wa SAMIA...
Mahakama ya SAMIA...
Ni kama ccm imekumbwa na laana fulani hivi!
Ungejuwa hilo usinge sign mkataba wa kuuza bandari zetu kwa warabu. Taarabu tu ndio unaweza. Yaani maccm yanaogopa kutaja neno haki . Wewe tenda haki ili watu waandike mema .Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo kwenye usiku wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya Utoaji Utuzo za Samia Kalamu Awards Super Dome - Masaki Mei 5, 2025
Kalamu zenu zilinde nchi yetu kalamu zetu zinalinda nchi yetu sawa saw ana jeshi linavyolinda mipaka ya nchi yetu, kwahiyo kalamu tukizitumia vizuri tutakuwa salama, tukizitumia vibaya basi usalama utakuwa aupo namuona Murilo anasikiliza kwa makini sana.
Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo kwenye usiku wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025.

Sema hotuba za huyu mama huwa sizipendi kabisa.
Tanzania inalindwa na chawa na waganga wa kienyeji na viongozi wa dini chawa siyo kalamu. Waandishi wenyewe sasa hivi wamezibwa midomo.Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo kwenye usiku wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025.
Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya Utoaji Utuzo za Samia Kalamu Awards Super Dome - Masaki Mei 5, 2025
Kalamu zenu zilinde nchi yetu kalamu zetu zinalinda nchi yetu sawa saw ana jeshi linavyolinda mipaka ya nchi yetu, kwahiyo kalamu tukizitumia vizuri tutakuwa salama, tukizitumia vibaya basi usalama utakuwa aupo namuona Murilo anasikiliza kwa makini sana.
Sio huzipendi, hotuba zake huwa hazina mvuto...zimepoaaa halafu hazina madini, tena akiwa free flowing ndio zero kabisa!.Sema hotuba za huyu mama huwa sizipendi kabisa.