PreGE2025 Rais Samia: Kalamu zetu zinalinda nchi yetu sawa na jeshi linavyolinda mipaka ya nchi yetu. Namuona Murilo anasikiliza kwa makini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwezi .1. Simple tu tanzania yanzisha mifumo mikubwa ya umwagiliaji ili vijana wajiajiri.

Mwezi 4. Sasa tanzania ndo inchi inayo punguza deni la nchi kwa kasi zaidi ifikapo 2030

Mwezi 8. Tanzania ya tunga sheria kali ya kunyongwa hadi kufa mtu atakae bainika kula rushwa.

Send off sendo off samia party samia party nani anataka kusikia lol enjoy your space.
 
Rais Samia na Chawa wake ni Vipofu wana wa giza .
Bilblia ina vitabu zaidi ya 70 na mistari au aya mamilioni kuliko vitabu vyote vya dini zote uchwara duniani.

Cha ajabu Rais Samia na Chawa wake wanajua mstari mmoja tu unaosema
Kila mtu na atii mamlaka zilizo kuu; maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu." Warumi 13:01. Aliagiza Mtume Paulo ambaye hata hivyo hakuwa kati ya wanafunzi waliofundishwa na Masihi Mfalme wa Wafalme Yesu Mwana ya Mungu aliye hai milele na milele.
Paulo alikua ni Msomi wa Elimu ya dunia aliyekua na hulka ya Kirumi zaidi ambao walikua ni wakoloni wa Taifa la Israel na karibu Dunia nzima .

Rais Samia na Mashehena na mashehe Ubwabwa hakuna msatari wowote wanaoujua ndani ya Biblia zaidi ya huo mmoja wa Paulo ambaye katika unafiki wao hawamwamini Paulo kabisa .

Sasa ngoja niwaonyeshe Msatari wa Mtume Petro Mwanafunzi aliyesoma miaka mitatu kozi ya ufalme wa Mungu na kuhitimu Elimu ya Juu kabisa katika Theolojia ya Dunia nzima na kujua siri za Mungu na hatimaye kupewa Jukumu la kulichunga Kanisa. Petrol alipokwmatwa na MULILO WA WAKATI HUO chini ya Utawala wa Mfalme Samia wa wakati huo chini ya dola lenye nguvu kubwa na jeuri kubwa la wakati huo walimkamata na kumfunga gerezani kwa makosa ya kusingiziwa .
Walisema kuwa ana wajibu wa kuzitii na kuiheshimu Mamlaka ya Serikali ya CCM ya wakati huo .
Petro akijua wazi kuwa amesimama kwenye misingi ya Haki aliwajibu kwa wazi na kuonyesha msimamo wake wa kuendelea kuhubiri injili ya kweli na kukemea dhambi na kuwaletea Wanadam wote uhuru wa kweli na ukombozi utakaowaokoa wanadam kutoka katika vifungo vya shetani chini ya watawala dhalimu na wauaji wasiokinai kutoa roho za watu .
Alipawa Wahayi au maono akiwa amejaa Roho Mtakatifu na kusema
"Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu."
Matendo 5:29*

Kwa hiyo Rais Samia wa Leo ni lazima ajishushe chini ya Mungu na asiyatumie majeshi kujiona kuwa amekua mungu na watu wote mpaka kanisa kimsujudie kwa mtutu wa Bunduki .
Atapoteza heshima yake yote kwa sababu Mungu ndiye aliyempa nafsi ambayo hakuwahi kuwaza chini ya imani ya dini yake.

Katika mafundisho ya dini zote na hata Mungu wa imani yake hakuruhusu Kamwe Mwanamke kuwa Mfalme . Lakini imetokea kama bahati kutokana na demokrasia na katiba tuliyojiwekea ambayo huenda ikawa ni chukizo kwa Mungu maana tumekiuka kanuni za Mungu za kumweka Mfalme Mwanamke .

Sasa ni Vema Samia akajinyenyekeza Chini ya Mkono wa Mwanyezi Mungu na kutubu na kuwaomba Mashehe na Mapadri na wazee wa mila Waombe Dua kwa Mwanyezi Mungu na kuomba Msamaha na rehema kwa Mungu kwa kosa alilolifanya na lililofanywa na CCM kwa kumsimika Mwanamke kuwa Mfalme kinyume na Maelekezo ya Muumbaji na dini zote na mila zote .
Mfalme Mwanamke hapa Tanzania ni yule aliyekemgeuka na kuanzisha dini yake yaani Mfalme Zumaridi . Na tunaona jinsi aluvyoweza kuwatengeneza Chawa wake na walinzi wanaomzunguka na kumnyenyekea kama Mungu muumba .
RAIS SAMIA NAYE ASIJE AKAWA KAMA MFAME ZUMARIDI KWA KUPOTOKA NA KUTUMIA JESHI KUJIONA KUWA YUPO SAWA NA MUNGU NA KILA MTU AMSUJUDIE.

Nguvu ya shetani ni kuua au kifo na mauti lakini tunamshukuru Mungu kwa sababu Yesu alishinda Kifo na mauti na kumnyang'anya shetani funguo za mauti na kuzimu .

Tumuombee Rais wetu na tuiombee serikali yake Mungu awasamehe wote waliofanya makosa mbalimbali yanayolifanya taifa zima linaugua kwa hofu kubwa.
 
Rais Samia kanifundisha kitu kuwa madaraka ni matamu sana
 
Sio kwa ubaya ila kuna ulazima gani wa kuziita jina hilo? Kesho asipokuwepo mtazibadili jina au zitakua ndio mwisho wake? Nguvu na gharama kubwa sana inatumika kuonekana anaungwa mkono nakukubalika kuna kitu hakipo sawa au kuna watu wananufaika na upigaji mkubwa kupitia hizi sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…