Rais Samia kama anataka heshima yake irudi ni lazima yule Samia wa 2021-2022 ambaye aliweka mbele nchi kuliko ubinafsi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Raisi Samia mwaka 2021-2022 alikuwa na nguvu na aliteka Tanzania alikuwa ana alikwa kwenye mataifa makubwa sana lakini kuanzia 2023 Raisi Samia amekuwa dhaifu na kuonekana ni Raisi wa kuendeshwa na vigogo wa CCM na amekuwa kama vile ni Raisi wa Chama na sio Raisi wa nchi. Tukubali na tukatae huo ndiyo ukweli. Sababu za udhaifu wake ni hizi hapa

1. Kushidwa kukomesha rushwa kumemfanya watanzania wengi wahisi analinda mafisadi

2. Kushidwa kukuza demokrasia. Ameshidwa kabisa kurekebisha chaguzi mbaya kwa kiwango cha kimataifa. Chaguzi za 2024 zimeonyesha ameshidwa na sasa makada wa chama ndiyo wenye nguvu zaidi

3. Kupenda kusifiwa kinafiki tofauti na 2021-2022 ambako alikuwa anaonekana kama mtu makini na kuzungukwa na wasomi. ! Mama sasa amezungukwa na machawa watupu na wasomi wa maana wameondolewa kwa hujuma kama wale mawaziri wa mambo ya nje, karibu mkuu wa zamani na sasa Mpango ambaye ni makamu.

4. Vyombo vya usalama kusikiliza makada zaidi kuliko Raisi. Yaani imefika sehemu ambayo Raisi ana agiza ripoti za mauaji hapewi na vyombo vya usalama kwasababu tu ni mtu wa upinzani tujiulize ile ripoti ya Ali kibao iko wapi?. Utekaji kuendelea

5. Kesi za kijinga kwa wapinzani

Rais Samia ameonekana ni mwongo, hana nguvu zaidi ya makada na hata watu sasa wanafikiri Rais Kikwete ndiye anatoa maagizo. Kila mtu anajua Kikwete ni mnafiki.

Samia kama anataka heshima yake irudi ni lazima yule Samia wa 2021-2022 ambaye aliweka mbele nchi kuliko ubinafsi arusdi. Hao wanaofikiri wanamsaidia ndiyo wame mfanya aonekane dhaifu

Raisi wa kuendeshwa na vigogo wa CCM na amekuwa kama vile ni Raisi wa Chama na sio Raisi wa nchi.
💯💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐😆
 
Umeunena ukweli. Nchi imekuwa kama haina Rais. Amekuwa Rais wa kununua magoli badala ya kushughulika na mambo ya msingi.
 
Kuna watu gia zimebadilika angani wanakumbuka tbt
 
Kagundua survival yake ipo kwenye kulinda kundi number 1 maana haya majamaa ni either uyaache yaibe au uyakazie yakuchafue na kukueliminate then yalete mtu wao
 
Zanzibar kabla hajawa rais alidhani JPM ni mtu mbaya na katili, ila baada ya kujua yaliyomo bc nae ameamua kuendana na mfumo 😂
 
Raisi Samia mwaka 2021-2022 alikuwa na nguvu na aliteka Tanzania alikuwa ana alikwa kwenye mataifa makubwa sana lakini kuanzia 2023 Raisi Samia amekuwa dhaifu na kuonekana ni Raisi wa kuendeshwa na vigogo wa CCM na amekuwa kama vile ni Raisi wa Chama na sio Raisi wa nchi. Tukubali na tukatae huo ndiyo ukweli. Sababu za udhaifu wake ni hizi hapa

1. Kushidwa kukomesha rushwa kumemfanya watanzania wengi wahisi analinda mafisadi

2. Kushidwa kukuza demokrasia. Ameshidwa kabisa kurekebisha chaguzi mbaya kwa kiwango cha kimataifa. Chaguzi za 2024 zimeonyesha ameshidwa na sasa makada wa chama ndiyo wenye nguvu zaidi

3. Kupenda kusifiwa kinafiki tofauti na 2021-2022 ambako alikuwa anaonekana kama mtu makini na kuzungukwa na wasomi. ! Mama sasa amezungukwa na machawa watupu na wasomi wa maana wameondolewa kwa hujuma kama wale mawaziri wa mambo ya nje, karibu mkuu wa zamani na sasa Mpango ambaye ni makamu.

4. Vyombo vya usalama kusikiliza makada zaidi kuliko Raisi. Yaani imefika sehemu ambayo Raisi ana agiza ripoti za mauaji hapewi na vyombo vya usalama kwasababu tu ni mtu wa upinzani tujiulize ile ripoti ya Ali kibao iko wapi?. Utekaji kuendelea

5. Kesi za kijinga kwa wapinzani

Rais Samia ameonekana ni mwongo, hana nguvu zaidi ya makada na hata watu sasa wanafikiri Rais Kikwete ndiye anatoa maagizo. Kila mtu anajua Kikwete ni mnafiki.

Samia kama anataka heshima yake irudi ni lazima yule Samia wa 2021-2022 ambaye aliweka mbele nchi kuliko ubinafsi arusdi. Hao wanaofikiri wanamsaidia ndiyo wame mfanya aonekane dhaifu

Rangi inayoiona ndio true color yake. Unafiki wake ulikufanya umuone wa maana, lakini kiukweli hajawahi kuwa wa maana!
 
Back
Top Bottom