Rais Samia kama binadamu ana mapungufu ila ana sifa zote za kuwa Kiongozi wa Nchi yetu

Kwani Ndugu zitto ambae ni Ndugu katika Imani na Rais yeye anasemaje? Maana Rais akiwa muislamu zitto hakosoi lolote anageuka kua chawa na Rais akiwa mkristo zitto huchambua hoja kwa hoja kiuchumi na hukosoa kweli kweli.
Zitto ni mdini sn
 
Ila tatizo alisema mwenyewe kuwa raisi hakosei. Na pia tatizo kubwa zaidi ni makosa haya yamekua kwenye hotuba zote.
Mfano akiwa kwenye mkutano wa COP26 alisema geothermal ni moja ya chanzo Cha nishati nchini, kitu ambacho sio kweli.
Kuna shida kubwa kwa wanaoandika hotuba na wanaompa taarifa, lakini pia yeye anapaswa kuwa fit kujua na kusoma mambo mengi ili fedheha hizi ndogondogo inakua rahisi kuepuka
Najiuliza hotuba ikiandaliwa inapitiwa na watu wangapi kabla ya kumfikia? ni aibu kubwa sn kwa taifa
 
acha kumpa sifa asokua nazo huyo bi tozo, huyu maza alimuita nonsense waziri wake hadharani, huyu maza juzi hapa kamjibu ndugai alafu we unasema kampuuza, huyu maza aliudanganya ulimwengu kuhusu mbowe kupitia BBC alafu juzi kwenye mkutano wa siasa anasema mbowe awe na heshima, huyu maza ni katili kama alivyokua mtangulizi wake tu.
Tena nni katili mbaya sn amejificha kwenye dini
 
Huyu mama sifa zote kuu za urais hana.
Rais anapaswa kuwa na Upeo, maono na ushawishi. Yeye mwenyewe anajua sifa za kupewa urais hana isipokuwa bahati (kudra) ndio imempa urais baada ya bosi wake kufa ghafla. Kwa sasa anaamini anaweza kuendelea kuwa rais kwa sababu ya jinsia yake ya kike.

Pale tumepigwa kwa 100%.
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Hakuna binadamu aliyekamikika, hivyo hata Mama Samia hajakamilika. Ila kiuongozi nitakuwa wa mwisho kukosoa na kusema Hana sifa ya kuwa Rais wa Nchi.

Urais wa Nchi unaongozwa na sifa Moja kuu, Rais ni Mzazi Kwa Taifa bila kujali ana umri Gani. Mama anasimama kama mzazi kwetu.

Jambo la pili Rais anapaswa kuwa mtu anayekubali kwamba hajui kila kitu ila anaweza kusimamia kila Jambo linalopaswa kusimamiwa. Mhe. Rais hajui kila kitu ila anaweza akasimamia Yale tuliyomkabidhi asimamie.

Jambo la tatu, akikosea anaweza akarekebisha makosa endapo yanarekebishika. Mhe Rais ni mwepesi kurekebisha pale anapopata fact kwamba Kuna mapungufu, aliwahi kuacha baadhi ya wateule wake baada yakusikia wananchi wakilalamika, Leo amerekebisha utata uliokuwa kwenye hotuba yake. Huu ndio uzazi na Uarais siyo kukomaa ukijitapa kwamba hakuna makosa

Anaweza akasemehe na wakati mwingine akapuuza, amempuuza Ndugai, Polepole n wengine. Hakutaka kushindana nao Wala kuwaonyesha yeye ana ñguvu Gani ameacha mamlaka ziangaike nao.

Anakasirika kama mwanadamu, anakwazika lakini hatoki adharani kuonyesha amekwazika. Kwa kuwa wanaomkwaza ni watu wazima anawaita nakuwakanya au kuwasikiliza ndani majirani wasijue. Tulishaanza kuona Taifa likiongozwa Kwa hasira za papo Kwa papo Leo hasira zinaelekea kwenye kalamu bila kudhalilishana. Pongezi

Mwisho; anaamini kwamba anaweza kupotoshwa na walio chini yake Kwa maslahi Yao na anapobaini anarudi nyuma kuyatizama maamuzi yake nakurekebisha pale alipopotoshwa. Tulimsikia kwenye mkutano wa vyama vya siasa,alikiri kwamba maridhiano ni muhimu na akaagiza waliopo chini yake wamshauri namna nzuri yakuliponya Taifa

Hizi sifa wanazo watu wachache sana, hata huko upinzani hakuna watu wenye sifa hizi sema awajapata madaraka mngejionea rangi zao halisi.

Kuhusu maendeleo; ukiwa na Kiongozi anayetenda haki na anayemcha Mungu ni zaidi ya majengo na mareli. Ukiwa na hofu hata utajiri hauna maana. Ameanza kurejesha confidence yetu soon ataendelea kufungua milango tujiletee maendeleo maana hakuna Rais anayeleta maendeleo, maendeleo yanaletwa na watu Kwa kufanya KAZI. Akiendelea mmoja mmoja kati yetu basi Taifa limesonga mbele.

Hongera Mama Samia, unayo Nafasi yakurekebisha machache mabaya yanayokuchafua hasa ya kisiasa then utafanya mazuri mengi. Fungua Moyo na TANGAZA MSAMAHA KWA WALIOKUKOSEA UANZE UKURASA MPAYA, SAMEHE ULIORITHI KUTOKA KWA UTAWALA ULIOPITA. PONYA TAIFA MANUNGUNIKO YAKIISHA TAIFA LITAPATA BARAKA NA UMOJA WETU UTAONEKANA. NIKUOMBE SANA SANA USIRITHI UKATILI MAANA UJAZALIWA KATILI, USIUMIZWE NA WAPINZANI WANAOSEMA ADHARANI, UMIZWA NA WANAOKUSEMA GIZANI AMBAO UMEWATEUA WEWE. HAO WA NDANI WANAOKWAMBIA FUNGA HUYU FUNGUA HUYU NI WABAYA KULIKO WANAOKUBEZA ADHARANI.

NIKUTAKIE MWAKA MPYA 2022, NIPO NAWEWE BEGA KWA BEGA KWENYE YALE TU YENYE MASLAHI KWA TAIFA NA SIYO MASLAHI YA CHAMA.
Kitabia Lissu hana tofauti na Magufuli.
Hashauriki na ni mjuaji, anajua kila kitu yeye.
 
Ni mara ngapi magufuli alikataa kata kata swala la yeye kuongeza muda? Yule mbunge mstaafu Kessy wa nkasi, alikua akiongoza ajenda ya Magufuli aongezewe muda unajua yaliomkuta? Hapo mnamsingizia na kumuonea magufuli. Hakua na mpango huo.
 
Hii umemsemea maana aliwahi kusikika mahali akisema Rais hakosei hapa unasemaje
 
Kwani Ndugu zitto ambae ni Ndugu katika Imani na Rais yeye anasemaje? Maana Rais akiwa muislamu zitto hakosoi lolote anageuka kua chawa na Rais akiwa mkristo zitto huchambua hoja kwa hoja kiuchumi na hukosoa kweli kweli.
Anasifia mpaka ushungi ila jamaa jinga sana
 
Kitabia Lissu hana tofauti na Magufuli.
Hashauriki na ni mjuaji, anajua kila kitu yeye.
acha kumfananisha lissu na vitu vya ajabu, yaani lissu mpenda haki na sheria umfananishe na jitu lisilopenda kufuata sheria wala utaratibu? laiti lissu angekua na tabia hizo nadhani angeshaivuruga CDM.
 
Lissu hana tifauti na Magufuli.
Full stop.
 
Ninachomshukuru Mungu kwa ajili yake haui watu
 
Naunga mkono hoja.

Back
Top Bottom