Rais Samia kama binadamu ana mapungufu ila ana sifa zote za kuwa Kiongozi wa Nchi yetu

Kwani Ndugu zitto ambae ni Ndugu katika Imani na Rais yeye anasemaje? Maana Rais akiwa muislamu zitto hakosoi lolote anageuka kua chawa na Rais akiwa mkristo zitto huchambua hoja kwa hoja kiuchumi na hukosoa kweli kweli.
Zitto ni mdini sn
 
Najiuliza hotuba ikiandaliwa inapitiwa na watu wangapi kabla ya kumfikia? ni aibu kubwa sn kwa taifa
 
Tena nni katili mbaya sn amejificha kwenye dini
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Kitabia Lissu hana tofauti na Magufuli.
Hashauriki na ni mjuaji, anajua kila kitu yeye.
 
Ni mara ngapi magufuli alikataa kata kata swala la yeye kuongeza muda? Yule mbunge mstaafu Kessy wa nkasi, alikua akiongoza ajenda ya Magufuli aongezewe muda unajua yaliomkuta? Hapo mnamsingizia na kumuonea magufuli. Hakua na mpango huo.
 
Hii umemsemea maana aliwahi kusikika mahali akisema Rais hakosei hapa unasemaje
 
Kwani Ndugu zitto ambae ni Ndugu katika Imani na Rais yeye anasemaje? Maana Rais akiwa muislamu zitto hakosoi lolote anageuka kua chawa na Rais akiwa mkristo zitto huchambua hoja kwa hoja kiuchumi na hukosoa kweli kweli.
Anasifia mpaka ushungi ila jamaa jinga sana
 
Kitabia Lissu hana tofauti na Magufuli.
Hashauriki na ni mjuaji, anajua kila kitu yeye.
acha kumfananisha lissu na vitu vya ajabu, yaani lissu mpenda haki na sheria umfananishe na jitu lisilopenda kufuata sheria wala utaratibu? laiti lissu angekua na tabia hizo nadhani angeshaivuruga CDM.
 
Lissu hana tifauti na Magufuli.
Full stop.
 
Ninachomshukuru Mungu kwa ajili yake haui watu
 
Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…