Rais Samia kama uko serious kuja kinachoendelea Tanzania njoo JF utapata ukweli halisi, wasaidizi wako hawatakwambia ukweli

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF!
Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au ikikupendeza fungua akaunti ambayo haitaruhusu reply kutoka kwa contributors
 
Kajaa tele humu na anasoma yote ila anachukulia kama kelele za doggy tu.

1724573790116.png
 
Huko kizimkazi leo nyimbo zote zimebadilishwa anaimbw yeye tuu dah kabisa nasema yule mama Kizimkazi sio mbaya hivyo kabisa naamini ila kuna watu wa karibu aliowaamini wana agenda zao zilizoratibiwa kiutalam sana aonekane hawezi na akija kustuka dah too late.
 
Ukikubali kupongezwa/kusifiwa, kubali pia kukosolewa, sio kutukanwa ukitukanwa kamata peleka peleka MAHAKAMANI.
Sheria si zipo?!
 
Yupo na alikua na I'd ambayo haitumiki tena.
 
Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF!
Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au ikikupendeza fungua akaunti ambayo haitaruhusu reply kutoka kwa contributors
Yupo mbona ila leo yuko kwenye kilele cha tamasha Kizimkazu

Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na kuweka hela na bahasha na kurudi mezani kuu. Kwa hakika hili ni tambiko la aina yake.
 
Na ata akiwa rais tena ni just 5 yrs😳kisha what next!! Abdull (mtoto wke) wapi Watoto wa Mpaka/lowasa,JK... mwinyi??Tanzania ni nchi ambayo MUNGU wa kweli alisha kabidhiwa!!!Waendeleee tu🙏kama wanatumia Oxgen na pia wana bank acc Dubai! Sadam Husein na huyu waziri wa bagldesh ! Weweke hela
 
Back
Top Bottom