ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Huyo usihangakaike naeSawa endelea kushabikia na uchawa Serikali inafanya kazi nzuri sana tuna vifaa vya ukoaji, majengo yanakaguliwa kama sheria inavyofanya na tuna demokrasia basi furahi na endeleo na maisha yako fake kama ndiyo unavyofikiria.
Sisi wengine tutaendelea kurekebisha kutaka demokrasia, katiba, usalama kweli wa raia kama kariakoo na sio washawasha na kujali nchi na sio chama chochote. Wewe endelea na uchawa wako na sisi tunaendelea na mapambano ya taifa hili. Kila mtu ana wito wake.
Ni jitu jinga tu hilo
Lenyewe linadhani ndo mwana CCM Bora kuliko wengine au ndo anammliki Rais
Hajui Rais ni WA Watanzania wote
Tunamkosoa na kusifia ikibidi
..