Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Ukiona unafanya maamuzi na wanaokushangilia ni Vijana wa Ufipa jua umekosea katika uamuzi huo,SASA CHADEMA TANGU LINI MKAFURAHIA MAMBO YA UVCCM?
KAFULILA ALIWAUMIZA SANA JINSI ALIVYOMTETEA RAIS WETU,
KWATAARIFA TU KAFULILA ANAKUWA WAZIRI TUONE MTASEMAJE
✔️✔️✔️✔️Ukiona unafanya maamuzi na wanaokushangilia ni Vijana wa Ufipa jua umekosea katika uamuzi huo,
Kafulila ni hazina kwa Taifa hili
Mbarali mko juu Sana, hongera Sana Rais Samia na Waziri BasheView attachment 2315751
Mama nakusalimu kwa jina la JMT,
Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation"
Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii,
Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa lukuki Dada yetu Mkurugenzi wa Malinyi Mhe Joanfaith John kwa uchapakazi wake uliotukuka ambao nchi nzima imekubaliana na wewe kuhusu binti yule kuwa ni mtu wakutiliwa mfano kwa Uchapakazi anaouonesha,
Mhe Rais wangu, hebu usipite Mbarali bila kuwapongeza na kuwatia moyo hawa viongozi wetu kwa mambo makubwa wanayofanya,
Wacha nitaje machache tu niliyoyaona:-
1. Wanafanya kazi kwa Upendo na Ushirikiano wa kiwango cha juu Sana,
2. Wanafanya vizuri Sana katika ukusanyaji wa Mapato mkoa mzima wa Mbeya,
3. Mbarali,Ndio Wilaya pekee hapa Tanzania iliyosajili mifugo yake kielektroniki kwa kiwango kikubwa ili kutekeleza sera yako ya kuongeza uuzwaji wa nyama na mifugo nje ya nchi,
4. Kusimamia vizuri kilimo cha Mpunga na mazao mengine,
5. Kusimamia vizuri miradi ya Ujenzi ikiwemo hii VETA utakayoizindua leo,
6. Kusimamia swala la Elimu bure kwa watoto wetu wote,
#MBEYA TUNAKUPENDA SANA MHE RAIS NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE MAPOKEZI YETU
View attachment 2315756
<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>
Pitia pia hii ziara ya Waziri wa Kilimo Mbarali Hussein Bashe,
View attachment 2316020
Hili ni Shamba la Mpunga Mbarali ( Skimu ya Umwagiliaji )
View attachment 2316021
Waziri Bashe akitua na helkopta ya Jeshi Mbarali kuhamasisha kilimo cha Umwagiliaji,
View attachment 2316023
Mkuu wa mkoa Mbeya akiwa na Mawaziri wa Kilimo katika uhamasishaji wa kilimo cha Umwagiliaji Mbarali
#Hongera Sana wanaMbarali,
Mavi matupuView attachment 2315751

Ungepiga picha na kipande cha barabara kutoka hapo Igawa mpaka Lujewa ningekuona wa maana!View attachment 2315751

Nailed, DED & DC ni majembe SanaSimfahamu DSO ila DED ni jembe Sana, DC anafaa Sana atafutiwe mkoa, TISS nisaidie hili,
Mungu mbariki Rais Samia,Ukiona unafanya maamuzi na wanaokushangilia ni Vijana wa Ufipa jua umekosea katika uamuzi huo,
Kafulila ni hazina kwa Taifa hili
Hiyo barabara imejengwa kabla ya viongozi hawa najua unafahamu hiliUngepiga picha na kipande cha barabara kutoka hapo Igawa mpaka Lujewa ningekuona wa maana!
Pigeni picha msaidiwe... barabara ya hovyo sanaHiyo barabara imejengwa kabla ya viongozi hawa najua unafahamu hili
Sahihi. Inakuwaje umwambie Rais kwamba kuna watu sijui wanafanya kazi vizuri hivyo wapongezwe as if Rais hana macheries za kupata taarifa ya kazi mbalimbali kutoka kwa watendaji mbalimbali hapa nchini? Halafu kwa ujinga unamtaja DSO. Kweli? DSO wa namna hii ni janga kwa nchiUVCCM ifike mahali msikie na muelewe mdundo wa ngoma anaoutaka mchagua wimbo.
Hizi porojo hazijamsaidia lolote Kafulia, jifunzeni kwake.