sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kila mtu anajifanya kulalamika ooh watanzania waoga.
Ooh watanzania hawajielewi.
Ooh watanzania hawajui haki zao.
Sababu tumeona Kenya vijana wanaandamana.
Lakini hapa Tanzania Rais ameruhusu watu kuandamana, nyinyi mnaolalamika kuhusu watanzania nini kinawazuia kuanzisha hayo maandamano?
Acheni upumbavu.
Sisi watanzania tunajielewa sana uwezi ukatushika masikio kirahisi kama wakenya. Lazima tupime nia na manufaa ya hayo maandamano tunaweza kukuunga mkono.
Kariakoo watu walifunga maduka bila movement yoyote ya wanasiasa wenye njaa kila siku wapo ikulu kubargain asali.
Yani umtoe mtanzania kwenye shughuli yake inayomuingizia kipato akashinde juani anakimbia kimbia uwe na sababu ya maana sana kumshawishi.
Anaedhani anazo sababu za msingi za kuingia mtaani aanzishe yeye maandamano anamsubiri nani ndio aanzishe?
Keyboard warriors hakuna wa kumshika masikio zama hizi watu wanafanya reasoning ya kweli.
Hao Kenya wana katiba mpya, wana vyama vipya kila leo na tume yao huru ila bado maisha yao tia maji tia maji.
Acheni upuuzi wa kupenda drama za kitoto.