Rais Samia karuhusu watu kuandamana kwenye awamu yake. Mnaolialia kuhusu watanzania kutoandamna ni wapuuzi, anzisheni nyinyi hayo maandamano

Nijipe umuhimu kwenye maisha ya chawa? We bure kabisa asee

Hata kwa huyo unaemshobokea sijui hata ishu zake ndio niwe na umuhimu na wewe.
Njoo nikupe kibarua cha kufanya unaonekana huna maisha
 
Maadam bado mihogo na kachumbari inapatikana mitaani nani aende akaandamane 😂😂😳
 
Wapuuzi sana kelele kibao. Waanzishe organisation hata hapa jamiiforum wakitane waende Dodoma kuzuia financial bill, maneno mengi hawana ujasiri wowote ule
Kweli JF tuhamasishane wenyewe humu kufanya maandamano na tuandamane kweli tuonyeshe mfano.
 
sinza pazuri nakubaliana kabisa na hoja yako.

Mama yao amewaruhusu kuandamana, lakini, hawaandamani wanabakia kubwabwaja mitandaoni.

Iko hivi, mambo za Kenya tuwaachie Wakenya. Sisi Watanzania tuishi maisha yetu. Binadamu hatufanani, na katika maisha kamwe usijifananishe na mwingine. Pambana na hali yako.
 
Upo sahihi sana mkuu.
 
Katiba yetu ya nchi ndiyo inaruhusu maandanano acha uchawa.
 
Keyboard warriors hao hawana ujasiri wowote ule.
Walipiga sana kelele kuzuiliwa maandamano na kufurahia yalipo ruhusiwa huku wakijua kuwa sio wafanyaji wa maandamano. Wabongo tumekuwa kama tuna gubu tu watu wa kulalamika ndio furaha yetu.
 
Kila mtu anajifanya kulalamika ooh watanzania waoga.
Ooh watanzania hawajielewi.
Ooh watanzania hawajui haki zao.
Sababu tumeona Kenya vijana wanaandamana.

Lakini hapa Tanzania Rais ameruhusu watu kuandamana, nyinyi mnaolalamika kuhusu watanzania nini kinawazuia kuanzisha hayo maandamano?
Acheni upumbavu.
Sisi watanzania tunajielewa sana uwezi ukatushika masikio kirahisi kama wakenya. Lazima tupime nia na manufaa ya hayo maandamano tunaweza kukuunga mkono.

Kariakoo watu walifunga maduka bila movement yoyote ya wanasiasa wenye njaa kila siku wapo ikulu kubargain asali.

Yani umtoe mtanzania kwenye shughuli yake inayomuingizia kipato akashinde juani anakimbia kimbia uwe na sababu ya maana sana kumshawishi.

Anaedhani anazo sababu za msingi za kuingia mtaani aanzishe yeye maandamano anamsubiri nani ndio aanzishe?

Keyboard warriors hakuna wa kumshika masikio zama hizi watu wanafanya reasoning ya kweli.

Hao Kenya wana katiba mpya, wana vyama vipya kila leo na tume yao huru ila bado maisha yao tia maji tia maji.
Acheni upuuzi wa kupenda drama za kitoto.
WE NA KUULIZA BADO UJAACHA KUISHI KWA DADA YAKO
 
..Katiba na Sheria ndio ameruhusu, sio Mama Abduli.
 
Mimi ni mkweli na huo ni ukweli.
Unaongea pumba ndani ya pumbani. Unless otherwise uwe unanufaika na huo uchafu. Lakin kwa kuwa kila kitu kipo wazi, it's better to keep quite.

Despite of a fake ID which you are possessing, in a sense that you are losing nothing because no one knows you, still it's a shame upon you.
 
..Katiba na Sheria ndio ameruhusu, sio Mama Abduli.
Ni Mama Samia. Wakati wa magufuli hakuna aliyethubutu kuingia barabarani wengine walimbilia ubeligiji wengine dubai wengine canada. Leo kuandamana ruksa ila mnalalmika watu hawataki nyie mnaotaka acheni keyboards ingine site
 
Unaongea pumba ndani ya pumbani. Unless otherwise uwe unanufaika na huo uchafu. Lakin kwa kuwa kila kitu kipo wazi, it's better to keep quite.

Despite of a fake ID which you are possessing, in a sense that you are losing nothing because no one knows you, still it's a shame upon you.
Acha kelele anza kuhamasisha maandamano muupinge mswada wa fedha, nani kawazuia kuandamana?
 
Kila mtu anajifanya kulalamika ooh watanzania waoga.
Ooh watanzania hawajielewi.
Ooh watanzania hawajui haki zao.
Sababu tumeona Kenya vijana wanaandamana.

Lakini hapa Tanzania Rais ameruhusu watu kuandamana, nyinyi mnaolalamika kuhusu watanzania nini kinawazuia kuanzisha hayo maandamano?
Acheni upumbavu.
Sisi watanzania tunajielewa sana uwezi ukatushika masikio kirahisi kama wakenya. Lazima tupime nia na manufaa ya hayo maandamano tunaweza kukuunga mkono.

Kariakoo watu walifunga maduka bila movement yoyote ya wanasiasa wenye njaa kila siku wapo ikulu kubargain asali.

Yani umtoe mtanzania kwenye shughuli yake inayomuingizia kipato akashinde juani anakimbia kimbia uwe na sababu ya maana sana kumshawishi.

Anaedhani anazo sababu za msingi za kuingia mtaani aanzishe yeye maandamano anamsubiri nani ndio aanzishe?

Keyboard warriors hakuna wa kumshika masikio zama hizi watu wanafanya reasoning ya kweli.

Hao Kenya wana katiba mpya, wana vyama vipya kila leo na tume yao huru ila bado maisha yao tia maji tia maji.
Acheni upuuzi wa kupenda drama za kitoto.
Maaandamo sio ya SSH bali ni ya katiba, na nyakati zikifika zimefika hata angekuepo mwendazake watu wangeandamana na asingekua na lafanya , nyakati ni nyakati tu , tena mwenda zake ndo angejuta kuzaliwa ,hamjui dunia nyie
 
Back
Top Bottom