Rais Samia karuhusu watu kuandamana kwenye awamu yake. Mnaolialia kuhusu watanzania kutoandamna ni wapuuzi, anzisheni nyinyi hayo maandamano

Maaandamo sio ya SSH bali ni ya katiba, na nyakati zikifika zimefika hata angekuepo mwendazake watu wangeandamana na asingekua na lafanya , nyakati ni nyakati tu , tena mwenda zake ndo angejuta kuzaliwa ,hamjui dunia nyie
Hakuna cha nyakati mwenye nchi akiamua wote mnafyta kimya si mnaona kagame hapo nchi ina discipline
 
Kuandamana ni haki ya Kikatiba siyo fadhiri za mkuu wa nchi.
 
Ni Mama Samia. Wakati wa magufuli hakuna aliyethubutu kuingia barabarani wengine walimbilia ubeligiji wengine dubai wengine canada. Leo kuandamana ruksa ila mnalalmika watu hawataki nyie mnaotaka acheni keyboards ingine site

..waliodungwa risasi na Magufuli walikimbilia Kenya.

..Na Magufuli naye alipougua nasikia alikimbilia Kenya.
 
Nimeshindwa kujua hoja yako ni ipi hapa kwenye huu utoto ulioandika.
 
Celebrity Forum ndio kunakufaa ukiwa unaisifi WCB,
It's hard to understand what you have written.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…