Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Siwezi shangaa,maana Kama mkwe wake kateuliwa kuwa waziri ,nishangae la kusafiri na wajukuu?Cha muhimu asitupie mzigo wa kodi nyingi kwa watanzania wenye maisha ya chini.
Mfano halisi wa ubaguzi at its highest order kama siyo chuki binafsi. Mwenye uwezo hata kama ni ndugu wa damu mwache achaguliwe na afanye kazi. Kwanza it is a way of cementing UAMINIFU.
 
Mshauri wake ndiye tatizo na si yeye.
👇🏾
Kumbuka kuna mtu kakaa kushoto anatoa maelekezo ya kuendesha hiyo taasisi huyo ndiye anapelekea kutuharibia nchi.

Nyakati zake zilipita hakupaswa kuwepo hata kwenye mlango wa rehema yule mtu.
Msemeni tumuinukie, kwa usalama wa nchi yetu.
 
Msemeni tumuinukie, kwa usalama wa nchi yetu.
Safari zimeanza na kuendelea kuwa lukuki mra kule mara huku, utaambiwa mnarudisha mahusiano, kwani bila kusafiri huwezi kutumia country representative aliyepo nvhi husika!.

Now unakatwa 2000 kila ununuapo luku kulipia nyumba isiyo yako, alafu bado mnakwenda kwenye sherehe ndege nzima mmejaa nyie, kisa uhusiano na kujionyesha au?😷.
 
Mungu yupo. Hatumii akili zake, hilo ndilo tatizo kubwa zaidi, na anampa kila anaemuomba.

Kila jina ninalosoma hapo ni ......CCM, ....CCM,....CCM, kwanini wasibebane kwa kukodi ndege ya ATCL badala ya kutumia pesa za walipa kodi kwa shughuli za chama chao?
Hiyo safari kaenda na ile airbus kubwa ya Atcl bureee
 
Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.
Mumekuwa na Domo kaya au debe bovu alipokuwepo Bwana wenu marehemu mulifyata kimyaaa kama mbwa koko mkia wake kautia ndani 24 kimyaa hivo ndivyo mmezoweya kutawaliwa .Punda hendi mpaka kwa magongo ndio nyie .Muacheni Raisi wetu afanye kazi ni chaguo la Mwenyezi Mungu hakuchagulia na chama chochote kachagulia na Mungu tena mukome na fyoko fyoko zenu looo hamuna kheri .Hasbiya llah kila anachofanya sicho taireniiii.
 
Muna chuki ndani kwa ndani muna hikdi na husda mmeshindwa kuziiya ubaya wenu Mungu atawashinda lkn mzoeya punda hapandi farasi ,hamukozoea kupata kiongozi mzuri mmezoweya kuapata viongozi makatili lkn muda utakuja kuwasuta .
 
Ile Airbus ndio imekua ya Rais moja kwa moja siku hizi? Anyway tuendelee kulipa tozo tu mpaka wananchi tutakapojielewa ndipo wanasiasa watakapotuheshimu! Mwendazake alikua na mapungufu yake ila hakua na matumizi yasiyokua na msingi wala manufaa kwa watanzania kama haya
Yule chizi, inatakiwa hata huko aliko afe tena
 
Nakumbuka ulikuwa mmojawapo mnaoimba ile kauli ya ANAUPIGA MWINGI mbona leo hivi eeh [emoji23]!.
Mkuu watu hubadilika kwa kufanya mabaya au mema, hata yule chizi(Jiwe) kuna mida alikuwa anafanya mazuri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Muna chuki ndani kwa ndani muna hikdi na husda mmeshindwa kuziiya ubaya wenu Mungu atawashinda lkn mzoeya punda hapandi farasi ,hamukozoea kupata kiongozi mzuri mmezoweya kuapata viongozi makatili lkn muda utakuja kuwasuta .
Mkuu hayo maombi yako yakurudie mwenyewe,

MUNGU ni wa haki,

Naangalia salary slip yangu hapa PAYE nayokatwa ni mtaji tosha afu nayafaidisha majitu yanakula jasho langu kizembe kizembe hakika inauma sana mtu unafanya kazi ngumu kwa jasho afu kodi yako itumike vibaya kufaidisha kundi la watu wachache na familia zao.

Mlaaniwe wote mnaokula jasho langu na wahangaikaji wengine kwa matumizi mabaya ya pesa za mlipa kodi.
 
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.

View attachment 1905055

Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.

View attachment 1905055

354506.jpg
 
Maandiko yalishatuweka wazi mapema tuushi nao kwa akili ila matokeo yake tumeenda kuziba shimo la panya kwa mkate,toka wale 19 wageuke nimekosa imani na wanawake ,delila ni delila tuu
Mungu Baba Muumba hakumnyofoa mwanamke toka ubavuni mwa mwanaume ili awe kiongozi,la.
Mwanamke jukumu lake ni kumtoa upweke mwanaume. Full stop.
 
Nashindwa kuelewa Watanzania tumepatwa na ugonjwa gani
Ni ama tunakurupuka Kuzungumza au huwa hatupendi kuyaangalia mambo ktk uhalisia wake.
Ukihesabu hao Watu wanaosemwa ni wengi hapo ni Watu 8 tu.Yani ni kweli tunaamini viongozi nane kuongozana na Rais ni wengi?Nani anategemea Rais asafiri peke yake na mpambe?
Tuache umbumbumbu, tuyaangalie mambo Kwa uhalisia
Hao nane ni viongozi wa wapi!!??
 
Safari ya siku moja kwenda na kurudi gharama ni zipi?

Ndege wanatumia moja, mafuta ni hayo hayo, per diem ya serikali haizidi $ 438 per day per person, ila hiyo haizidi siku, so half day means half per diem around $ 219

Hivi kwa msafara wa Mh. Rais, hata akiwa na watu say 40 kwa safari ya Zambia. Gharama za per diem 40 * $219 = $ 8,760

Ebu tuambiane ukweli, Mh. Rais akisafiri per diem ya anafutana naye wote ikawa hata $ 10,000 per day, alafu mafuta ya ndege wanaweka hapa Tz kwenda na kurudi, hiyo ni gharama kubwa?


Nauliza, $ 10,000 per diem plus gharama ya ndege, ambayo hata akienda mtu mmoja gharama ya mafuta iko pale pale. Hizi ni gharama kubwa?

Hivi ni kuwa hesabu kwenu ngumu sana au hamjui gharama za watumishi wa umma maana mnapiga kelele tu humu. Hamna data zozote za kuonyesha ni ghali, yaani siasa tupu. Sioni gharama zozote kubwa to be honest.
Sawa "Kibajaji",gharama si kubwa.
Kuna tija ya hao watu kwenda huko!!???
 
Back
Top Bottom