CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 648
Mfano halisi wa ubaguzi at its highest order kama siyo chuki binafsi. Mwenye uwezo hata kama ni ndugu wa damu mwache achaguliwe na afanye kazi. Kwanza it is a way of cementing UAMINIFU.Siwezi shangaa,maana Kama mkwe wake kateuliwa kuwa waziri ,nishangae la kusafiri na wajukuu?Cha muhimu asitupie mzigo wa kodi nyingi kwa watanzania wenye maisha ya chini.
Msemeni tumuinukie, kwa usalama wa nchi yetu.Mshauri wake ndiye tatizo na si yeye.
👇🏾
Kumbuka kuna mtu kakaa kushoto anatoa maelekezo ya kuendesha hiyo taasisi huyo ndiye anapelekea kutuharibia nchi.
Nyakati zake zilipita hakupaswa kuwepo hata kwenye mlango wa rehema yule mtu.
Safari zimeanza na kuendelea kuwa lukuki mra kule mara huku, utaambiwa mnarudisha mahusiano, kwani bila kusafiri huwezi kutumia country representative aliyepo nvhi husika!.Msemeni tumuinukie, kwa usalama wa nchi yetu.
Halafu aapishwe yule mhutu tena tuanze kunywa maji kwenye karai? 😂
Kuna umuhimu wa katiba mpya sijui kwanini kuna watu hawaelewi!
Hivi yupo wapi?Halafu aapishwe yule mhutu tena tuanze kunywa maji kwenye karai? 😂
Kuna umuhimu wa katiba mpya sijui kwanini kuna watu hawaelewi!
Hiyo safari kaenda na ile airbus kubwa ya Atcl bureeeMungu yupo. Hatumii akili zake, hilo ndilo tatizo kubwa zaidi, na anampa kila anaemuomba.
Kila jina ninalosoma hapo ni ......CCM, ....CCM,....CCM, kwanini wasibebane kwa kukodi ndege ya ATCL badala ya kutumia pesa za walipa kodi kwa shughuli za chama chao?
Mumekuwa na Domo kaya au debe bovu alipokuwepo Bwana wenu marehemu mulifyata kimyaaa kama mbwa koko mkia wake kautia ndani 24 kimyaa hivo ndivyo mmezoweya kutawaliwa .Punda hendi mpaka kwa magongo ndio nyie .Muacheni Raisi wetu afanye kazi ni chaguo la Mwenyezi Mungu hakuchagulia na chama chochote kachagulia na Mungu tena mukome na fyoko fyoko zenu looo hamuna kheri .Hasbiya llah kila anachofanya sicho taireniiii.Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.
Yule chizi, inatakiwa hata huko aliko afe tenaIle Airbus ndio imekua ya Rais moja kwa moja siku hizi? Anyway tuendelee kulipa tozo tu mpaka wananchi tutakapojielewa ndipo wanasiasa watakapotuheshimu! Mwendazake alikua na mapungufu yake ila hakua na matumizi yasiyokua na msingi wala manufaa kwa watanzania kama haya
Mkuu watu hubadilika kwa kufanya mabaya au mema, hata yule chizi(Jiwe) kuna mida alikuwa anafanya mazuriNakumbuka ulikuwa mmojawapo mnaoimba ile kauli ya ANAUPIGA MWINGI mbona leo hivi eeh [emoji23]!.
Kumbe unazungumzia hawa jirani zetu, Kwa mwenendo huu hata Tz tunaelekea kuwa piku akina Ngina manake upigaji sasa ni nje nje kabisaa viongozi wanafiki yaani ni mzigo kwa mlipa kodi.Ingia google au Wikipedia utampata!
Mkuu hayo maombi yako yakurudie mwenyewe,Muna chuki ndani kwa ndani muna hikdi na husda mmeshindwa kuziiya ubaya wenu Mungu atawashinda lkn mzoeya punda hapandi farasi ,hamukozoea kupata kiongozi mzuri mmezoweya kuapata viongozi makatili lkn muda utakuja kuwasuta .
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Mungu Baba Muumba hakumnyofoa mwanamke toka ubavuni mwa mwanaume ili awe kiongozi,la.Maandiko yalishatuweka wazi mapema tuushi nao kwa akili ila matokeo yake tumeenda kuziba shimo la panya kwa mkate,toka wale 19 wageuke nimekosa imani na wanawake ,delila ni delila tuu
Hao nane ni viongozi wa wapi!!??Nashindwa kuelewa Watanzania tumepatwa na ugonjwa gani
Ni ama tunakurupuka Kuzungumza au huwa hatupendi kuyaangalia mambo ktk uhalisia wake.
Ukihesabu hao Watu wanaosemwa ni wengi hapo ni Watu 8 tu.Yani ni kweli tunaamini viongozi nane kuongozana na Rais ni wengi?Nani anategemea Rais asafiri peke yake na mpambe?
Tuache umbumbumbu, tuyaangalie mambo Kwa uhalisia
Sawa "Kibajaji",gharama si kubwa.Safari ya siku moja kwenda na kurudi gharama ni zipi?
Ndege wanatumia moja, mafuta ni hayo hayo, per diem ya serikali haizidi $ 438 per day per person, ila hiyo haizidi siku, so half day means half per diem around $ 219
Hivi kwa msafara wa Mh. Rais, hata akiwa na watu say 40 kwa safari ya Zambia. Gharama za per diem 40 * $219 = $ 8,760
Ebu tuambiane ukweli, Mh. Rais akisafiri per diem ya anafutana naye wote ikawa hata $ 10,000 per day, alafu mafuta ya ndege wanaweka hapa Tz kwenda na kurudi, hiyo ni gharama kubwa?
Nauliza, $ 10,000 per diem plus gharama ya ndege, ambayo hata akienda mtu mmoja gharama ya mafuta iko pale pale. Hizi ni gharama kubwa?
Hivi ni kuwa hesabu kwenu ngumu sana au hamjui gharama za watumishi wa umma maana mnapiga kelele tu humu. Hamna data zozote za kuonyesha ni ghali, yaani siasa tupu. Sioni gharama zozote kubwa to be honest.
Sawa "Kibajaji",gharama si kubwa.
Kuna tija ya hao watu kwenda huko!!???