wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ahaa. Nayo ni lazma?Chadema michango imo kwenye katiba yao bwashee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa. Nayo ni lazma?Chadema michango imo kwenye katiba yao bwashee!
Sasa pm unataka kujua ni barua nimeona wapi huku unaandika tofauti acha uchawi na umbea.Acha ukuda utakufa maskini
Besidei tu yu...Wameshajua mambo anayoyapenda.
Kuna pesa zinachangishwa na unapewa fomu yenye nafasi 20.Mama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana.
Kuna barua zinazambazwa kuomba mchango wa kufanikisha sherehe za mwaka mmoja toka uchukue uongozi, je hizi barua unazijua na huu mpango wa kuomba fedha je unabaraka zako?
Tuache kucheza na maisha ya watu. Mama unachangiwa fedha za sherehe yako ya mwaka mmoja kuongoza nchi? Kuna ulazima gani wa kufanyiwa sherehe? Kuna jipya lipi uongozi wako umelifanya mpaka likawa la ajabu ndani ya mwaka mmoja hivyo tunapaswa kusherekea.
Mama sitisha mpango huu kama pesa umebariki ipatikane ni vyema ikatumika kununulia vitanda vya watoto njiti ama ukawapa bima ya afya watoto masikini. Ila ukibariki hili umebariki wizi. Chawa hana huruma.
Mama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana.

Kwani ikitoka serikalimi ndio Lazima?
Nitajie kifungu cha sheria!
Kama jambo la kweli na sio propaganda na unataka Rais alifanyie kazi basi taja jina la benki na taasisi/ofisi iliyoleta baruaMama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana.
Kuna barua zinazambazwa kuomba mchango wa kufanikisha sherehe za mwaka mmoja toka uchukue uongozi, je hizi barua unazijua na huu mpango wa kuomba fedha je unabaraka zako?
Tuache kucheza na maisha ya watu. Mama unachangiwa fedha za sherehe yako ya mwaka mmoja kuongoza nchi? Kuna ulazima gani wa kufanyiwa sherehe? Kuna jipya lipi uongozi wako umelifanya mpaka likawa la ajabu ndani ya mwaka mmoja hivyo tunapaswa kusherekea.
Mama sitisha mpango huu kama pesa umebariki ipatikane ni vyema ikatumika kununulia vitanda vya watoto njiti ama ukawapa bima ya afya watoto masikini. Ila ukibariki hili umebariki wizi. Chawa hana huruma.
Taja kwanza wewe jina lako halisiKama jambo la kweli na sio propaganda na unataka Rais alifanyie kazi basi taja jina la benki na taasisi/ofisi iliyoleta barua
Said Khamis, sasa na wewe leta majina na uthibitisho wa uliyoyaandika,Taja kwanza wewe jina lako halisi
Sawa sio KingaiSaid Khamis, sasa na wewe leta majina na uthibitisho wa uliyoyaandika,
Nadhani Admin wanapaswa kuondoa thread kama hizi za kutunga, zinazolenga kuchonganisha Serikali na Wananchi wakeSawa sio Kingai
Mama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana.
Kuna barua zinazambazwa kuomba mchango wa kufanikisha sherehe za mwaka mmoja toka uchukue uongozi, je hizi barua unazijua na huu mpango wa kuomba fedha je unabaraka zako?
Tuache kucheza na maisha ya watu. Mama unachangiwa fedha za sherehe yako ya mwaka mmoja kuongoza nchi? Kuna ulazima gani wa kufanyiwa sherehe? Kuna jipya lipi uongozi wako umelifanya mpaka likawa la ajabu ndani ya mwaka mmoja hivyo tunapaswa kusherekea.
Mama sitisha mpango huu kama pesa umebariki ipatikane ni vyema ikatumika kununulia vitanda vya watoto njiti ama ukawapa bima ya afya watoto masikini. Ila ukibariki hili umebariki wizi. Chawa hana huruma.
Inategemea barua ikitoka wizarani kwenda taasisi binafsi watakaa? Maana wanajua mlivyo na fitna, hamchelewi kuwaletea Kodi za kufa kabisa.
Hivyo watachanga hata Kama hawapendi
Umeelewa ama unaandika tu. Barua inatoka serikalini.
Una umri gani? Je umeajiriwa ama. Usichokijua nyamaza kimya kuna vitu vinaendeka serikalini hasa kwa hawa watu wanaojipendekeza ukija kujua utalia.Serikali Ofisi gani? Serikali ikose hela ya kufanya sherehe kama inataka kufanya?
Reason kwa akili ya kawaida tu, HILO HALIWEZEKANI.
Kama Serikali inataka kufanya sherehe itatumia fedha zake, haiwezi kuomba watu wachangie Laki 2
Unaonekana ni mgeni sana wa mambo wewe.Wizara kweli igawe fomu Watu kuchanga laki Mbili mbili?
Doesn’t make any sense. Hakuna wizara itakosa hela eti ya kufanya sherehe ya Mwaka mmoja adi ichangishe
Cmooon, let’s reason with very common sense
TakatakaUna umri gani? Je umeajiriwa ama. Usichokijua nyamaza kimya kuna vitu vinaendeka serikalini hasa kwa hawa watu wanaojipendekeza ukija kujua utalia. Tafuta yule mfanyabiashara wa Hai na sakata la Sabaya ndio utajua. Hivi unajua wakati wa kampeni za urahisi hiyo hiyo serikali inachukua pesa nyingi sana za kampeni toka haya mashirika na watu binafsi. Unyamaze haujui mambo wewe.
Hauna akili wewe fuatilia mambo utakuja kujua ukweli.Nadhani Admin wanapaswa kuondoa thread kama hizi za kutunga, zinazolenga kuchonganisha Serikali na Wananchi wake