Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania
Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti za fedha.
Akizungumza katika Kongamano lililojumuisha Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan amesema tangu achukue madaraka, Sera ya Serikali yake imekuwa ni kuacha Serikali iongoze na Sekta Binafsi ifanye Biashara
Amesisitiza kuwa, "Namaanisha nikisema hakuna Biashara zaidi kwa Serikali, sisi tunatengeneza mazingira rafiki kwa ajili ya Sekta Binafsi ndani na nje ya Nchi kukua na kufanya Biashara"