Tumefikia kwenye stage ya common market.
-stage ya kwanza ilikua ni makubaliano ya kupunguza kodi pekeyake
-tukaja kwenye stage ya pili ya free trada hapa ilikua kuondoa vikwazo vyote ya kodi na visivyo vya kodi
- baada ya hapo tukaja kwenye stage nyingine inaitwaa common union baada ya kukubaliana kwenye free trade tukaingia makubalioano mengine ya shera kuhusu kufanya biashara na nchi ambazo sio wanachama
-stage ya sasa tupo kwenye common market hapa kuna free trade kwa nchi wanachama, shera za kufanya biashara na nchi ambazo sio wanachama. Mfano mm nafanya biashara ya viatu kenya, viatu vyangu na import kutoka china. Lkn kenya ni member wa EAC inaruhusu kuuza bidhaa bila ya kodi kwa nchi wanachama (yani nawaza kuuza viatu vyangu tz, ug etc bila ya kodi). Kupitia shera za EAC siwezi kuuza bidhaa nilizo import kutoka china bila ya kodi kwa nchi wanachama kwa maana ili uweze kuuza bila ya kodi bidhaa zako zinatakiwa kuwa domestic manufactured aslimia 75-80. Mtu kama masudi kipanya yale magari yake anaweza uza popote ECA bila ya kodi
-Tunapo elekea ni Economic Integration kama EU, hapa tutakua na shera sera zinazofanana (Economic policy 1. FISCAL POLICY, 2. MONETARY POLICY, 3. TAXATION POLICY & SOCIAL WELFARE POLICY) pia tutakua na single currency pia benk kuu itakua moja. Kwa kuongezea jumuiya ya EAC itatambulika kama nchi moja kwenye majukwaa ya kimataifa kama WTO, UN, AU etc