comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya?
Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na wakati na ndiyo nasema;
Mimi nimemsoma mama mambo matatu (Na ngoja niandike kwa herufi kubwa kuonesha uzito wa mambo hayo ya mama kuhusu Katiba):
1. KATIBA NI YA WATANZANIA WOTE SI YA VYAMA SIASA
2. MCHAKATO WA KATIBA NI SHIRIKISHI (YAANI WATANZANIA OF ALL WALKS OF LIFE WATASHIRIKI).
3. YANAYOKUWEMO KWENYE KATIBA YANATAKIWA YAENDANE NA WAKATI ULIOPO SASA.
Mambo hayo kuna ambao hawajayafurahia kwa sababu nimewashuhudia kwa macho yangu mwenyewe, hawakuyapigia makofi wakidhani wao ndio wenye akili nyingi kuliko watanzania wote Mil. 61 na kwamba wao ndiyo wanaodhi mfumo wa kidemokrasia na wanajua demokrasia kuliko hao watanzania Mil. 61.
Mambo ya kucopy na kupaste au kulishwa na mabeberu kana kwamba wao ndiyo wenye Standards za Demokrasia duniani na hawataki kukubali kuwa sisi tuko huru, tunajiamria mambo yetu sisi wenyewe na kuwa maana ya Demokrasia ni "SERIKALI YA WATU, INAYOWEKWA NA WATU MADARAKANI NA KWA AJILI YA WATU" yaani GOVERNMENT OF THE PEOPLE, BY THE PEOPLE AND FOR THE PEOPLE basi, nothing else. Mtu awaye yeyote asiyeelewa hivyo, si mzalendo wa kweli au tumrejeshe darasani.
Sasa hao vibaraka wa mabeberu wasiopiga makofi kupongeza kauli za kijasiri na kizalendo za Mhe. Rais kama hawakuelewa kuwa Katiba mpya ni dhana tu bali tunatakiwa kuboresha iliyopo kulingana na wakati tulionao shauri zenu. Sisi Watanzania ndo tumeshakubaliana na ndio tumetoa tamko rasmi kupitia kinywa cha Mhe. Rais.
Ya kwenu peleka nyumbani kwenu