Rais Samia: Kazi ya kuilinda Tanzania ni yetu sote!

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
753
Reaction score
1,699
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania.

"Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote."

"Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni yetu wote."

"Kuilinda nchi na mali zetu Mungu alizotubariki ni kazi yetu sote."

"Serikali tutaongoza lakini nanyi tufuate nyuma kwenye kulinda nchi hii."

Soma Pia: Rais Samia: Hakuna mwenye hati ya kusema hii ni yangu, nitafanya nnayotaka. Maendeleo ni ya wote!

View attachment 3640179
Faki zati demon-possessed bi+ch! Anailindaje Tanzania kwa kuua Watanzania?
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania.

"Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote."

"Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni yetu wote."

"Kuilinda nchi na mali zetu Mungu alizotubariki ni kazi yetu sote."

"Serikali tutaongoza lakini nanyi tufuate nyuma kwenye kulinda nchi hii."

Soma Pia: Rais Samia: Hakuna mwenye hati ya kusema hii ni yangu, nitafanya nnayotaka. Maendeleo ni ya wote!

View attachment 3640179
Ilinde kupitia katiba mpya yenye kurekebisha dosari za katiba ya sasa
 
Back
Top Bottom