Rais Samia, kiprotokali ni sahihi kumtaja Rais wa Zanzibar kabla ya Waziri Mkuu wa Tanzania?

Hebu leta rejea ya katiba kuthibitisha hoja.

Vipi anapokuja huku Bara kuhudhuria vikao vy Baraza la MAWAZIRI anakuwa wapi?? Tanganyika au Tanzania? na kwanini anakuwa na hadhi ya Waziri kwenye baraza??

Nyie tulieni tuwatawale, mtaendelea sana kuagiza nyanya chungu,karoti,bamia,viazi mviringo Toka bara, viazi mbatata,.

Tukifunga mtaanza kula UROJO..🤣😅

Tulixa mshono, yaani Wallace KARIA wa TFF NI MKUBWA SANA KULIKO Hussein!!
 
Huwa unaangalia maadhimisho ya sikuku ya Mapinduzi??? Yule anayepigiwa mizinga 21 ni rais wa nchi gani??
Zile ni mbwembwe tu za Kumwinua huyo mkuu wa wilaya za Zanzibar, ili aonekane yumo!!

Lakini ni mdogo sana kwa waziri mkuu kama katiba Sheria Mama inavyosema
 
cha muhimu (makamu) raisi P.Mpango (PhD) ametajwa kama namba 2 in command inatosha, baada ya hapo it gets complicated, hivyo mimi huishia kwa raisi P.Mpango tu …

This arrangement of ours is very complicated and it will always cause some controverse as long as it exists.
 
mwacheni tu ampe ukubwa. kuna watu wanapendaga sana ukubwa, wasipoinuliwa na kutukuzwa watasababisha ugomvi bure, hata kama hawastahili ukubwa, dawa ni kutumia hekima tu, wape ukubwa hata kama hawastahili ili waridhike.
 
Hutakaa unisahau nimekunyoosha barabara😎😎
Leta kipengele chochote Cha Katiba chenye kuonesha ukuu wa mkuu wa wilaya anayeongoza Wilaya Zanzibar.
We mimi ndiye nimekunyoosha, na pia bodaboda ambao wana NYANDUA mother House 🤣😅🤣😅🤸
 
Leta kipengele chochote Cha Katiba chenye kuonesha ukuu wa mkuu wa wilaya anayeongoza Wilaya Zanzibar.
We mimi ndiye nimekunyoosha, na pia bodaboda ambao wana NYANDUA mother House 🤣😅🤣😅🤸
Hutakaa ukisahau fala ww
 
Hutakaa ukisahau fala ww
Leta kipengele Cha Katiba chenye kuonesha ukuu wa mkuu wa wilaya anayeongoza Wilaya Zanzibar.Vs udogo w waziri mkuu.
Namna nyingine WEWE ni mweupe Bodaboda wataendelea KUKUNYANDULIA MKE WAKO.

Upo Bumunda???
 
Leta kipengele Cha Katiba chenye kuonesha ukuu wa mkuu wa wilaya anayeongoza Wilaya Zanzibar.Vs udogo w waziri mkuu.
Namna nyingine WEWE ni mweupe Bodaboda wataendelea KUKUNYANDULIA MKE WAKO.

Upo Bumunda???
Chizi wa masters ya kiswahili! Hutanisahau😂😂 Halaf rudi shule bado sana ww.
 
Chizi wa masters ya kiswahili! Hutanisahau😂😂 Halaf rudi shule bado sana ww.
Utaishia kumtukana.

Nijibu leta reference ya Katiba kupinga hoja yangu ya UKUU WA WAZIRI MKUU KIKATIBA.
hapo ukiweza tunasonga mbele zaidi.

Kifupi wewe ni mufilisi bare headed person.
🤣😅🤣😅 Ndo Maana Bodaboda wanakunyoeshea sana wife wako!!
 
1.Rais wa JMT
2.Makamu wa rais JMT
3.Rais wa Zanzibar
4.Waziri mkuu wa JMT
5.Makamu wa kwanza wa rais zanzibar
6.Makamu wa pili wa rais zanzibar
7.Naibu waziri mkuu JMT kama yupo
8.Katibu mkuu kiongoz JMT
9. Ikulu T
 
Huna akili unapoteza muda na ujinga! Ndo maana nakupuuzia😎 Ila kwa hichi kichapo hutarudia! Mada ya Urais unachanganya ujinga kuonyesha ulivyo empty kichwan😂😂 masters ya kiswahili
 
1.Rais wa JMT
2.Makamu wa rais JMT
3.Rais wa Zanzibar
4.Waziri mkuu wa JMT
5.Makamu wa kwanza wa rais zanzibar
6.Makamu wa pili wa rais zanzibar
7.Naibu waziri mkuu JMT kama yupo
8.Katibu mkuu kiongoz JMT
umemsahau kiboko ya wachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…