CHADEMA mkichukua nchi mwaka 2358 mtaanza kumtaja waziri mkuu kwanza. Ila kwa sasa twende na utaratibu uliopo.Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na ndio akamataja Waziri Mkuu wa Tanzania, Bwana Kassimu Majaliwa.
Swali langu ni je, kati ya Raisi wa Zanibar na Waziri Mkuu wa Tanzania, ni nani mwenye cheo kikubwa?
Zanzibar si ni sehemu ya Tanzania, sasa iweje Rais wa Zanzibar ambae ni sehemu tu ya Muungano awe juu ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Umeshindwa kutaja mamlaka yake unaleta ngonjera.ANAYO MAMLAKA KWANI YEYE NDIYE KIOO CHA UVAMIZI
Ni mbwembwe but za kumwinua Mkuu wa wilaya anayeongoza Wilaya ,lakini ana cheo Cha Rais.Hata huyo anayeitwa Rais wa Muungano hana mamlaka Zanzibar kama yapo nitajie.
Hujasoma sawasawa nimeeleza kuwa asipokuwepo Rais na makamu, ONGEZA MBOGA ZA MAJANI, NIMETAJA π€£π πHapo pa kuachiwa nchi PM inapotokea Rais na Makamu hawapo umepitiwa. Inaishia kwa Makamu ndio itaenda kwa Spika/Jaji Mkuu.
Katika kikao cha Marais, Waziri Mkuu hanusi.Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na ndio akamataja Waziri Mkuu wa Tanzania, Bwana Kassimu Majaliwa.
Swali langu ni je, kati ya Raisi wa Zanibar na Waziri Mkuu wa Tanzania, ni nani mwenye cheo kikubwa?
Zanzibar si ni sehemu ya Tanzania, sasa iweje Rais wa Zanzibar ambae ni sehemu tu ya Muungano awe juu ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Upo mujahidina?? Kaa pembeni mada hii siyo saizi Yako, tunazingmzia ndani ya nchi nani mkubwa baina ya PM na mkuu yule wa wilaya za Zanzibar na pemba.π€£π π πKatika kikao cha Marais, Waziri Mkuu hanusi.
Hilo kwa sasa sahau haitatokea tena kwa sababu hatopatikana mwenyekiti wa chama mwenye ujasiri na kusimamia maadili ya chama kama ilivyokuwa wakati huo uliyopita.Ni mbwembwe but za kumwinua Mkuu wa wilaya anayeongoza Wilaya ,lakini ana cheo Cha Rais.
Zanzibar , anayepata bajeti na magawionkutoka bara, aambaye dakika sifuri kwa kikao kimoja Cha chama kinamuondoa madarakani,.
Rejea Abdul Jumbe Mwinyi alivyoondolewa na kikao Cha DODOMA!!
Zanzibar ni koloni la Bara π€£π€£π€£π€£ kula chuma hichooooπ€£π€£π€£π€£π€£π
Umeshindwa kutaja mamlaka yake unaleta ngonjera.
Sahihi1.Rais wa JMT
2.Makamu wa rais JMT
3.Rais wa Zanzibar
4.Waziri mkuu wa JMT
5.Makamu wa kwanza wa rais zanzibar
6.Makamu wa pili wa rais zanzibar
7.Naibu waziri mkuu JMT kama yupo
8.Katibu mkuu kiongoz JMT
Ni mbwembwe but za kumwinua Mkuu wa wilaya anayeongoza Wilaya ,lakini ana cheo Cha Rais.
Zanzibar , anayepata bajeti na magawionkutoka bara, aambaye dakika sifuri kwa kikao kimoja Cha chama kinamuondoa madarakani,.
Rejea Abdul Jumbe Mwinyi alivyoondolewa na kikao Cha DODOMA!!
Zanzibar ni koloni la Bara π€£π€£π€£π€£ kula chuma hichooooπ€£π€£π€£π€£π€£π
Jibu umeshalipata sema unajidai hujaelewa tu.Upo mujahidina?? Kaa pembeni mada hii siyo saizi Yako, tunazingmzia ndani ya nchi nani mkubwa baina ya PM na mkuu yule wa wilaya za Zanzibar na pemba.π€£π π π
Naam wewe upo vizuri SANA hongera πππUmeshindwa kutaja mamlaka yake unaleta ngonjera.
Wewe ni mpuuzi unayetoka nje ya mada iliyo mezani.Jibu umeshalipata sema unajidai hujaelewa tu.
Ma shaa Allah, nimelipenda sana hilo la Mujahidina, kuna kipi bora zaidi ya "aladhina yujahidunna vi sabili Allah..."?
Mimi sielewi ndiyo maana nimesema aina ya muungano tulionao haueleweki.Kwani Zanzibar ina mamlaka gani katika huu Uvamizi uitwao muungano ??
Na Rais wa Zanzibar huishia zanzibar tu hana mamlaka Tanzania BaraWazir mkuu huishi bara tu Hana mamlaka zanziba
Nimesoma sawa sawa na ulichoandika kuhusu PM kuachiwa nchi iwapo Rais na Makamu hawapo nchini umepitiwa..haiko hivyo.Hujasoma sawasawa nimeeleza kuwa asipokuwepo Rais na makamu, ONGEZA MBOGA ZA MAJANI, NIMETAJA π€£π π
Katiba ya JMT hatambui hivi vyeo.
6.Makamu wa pili wa rais zanzibar
7.Naibu waziri mkuu JMT kama yupo
Mbona Marais wengine hawakufanya hivyo au mbona zamani hakufanya Hivyo kafanya mara moja tuCHADEMA mkichukua nchi mwaka 2358 mtaanza kumtaja waziri mkuu kwanza. Ila kwa sasa twende na utaratibu uliopo.
Hakuna Kikao cha Marais Tanzania π π πKatika kikao cha Marais, Waziri Mkuu hanusi.