Rais Samia, kiprotokali ni sahihi kumtaja Rais wa Zanzibar kabla ya Waziri Mkuu wa Tanzania?

Rais Samia, kiprotokali ni sahihi kumtaja Rais wa Zanzibar kabla ya Waziri Mkuu wa Tanzania?

Huna akili chizi ww! Waziri mkuu ni wanne kimamlaka weka hili akilini!
Na ndiyo maana hata magari ya escort yapo hv;
1.Rais wa JMT (escort 1)
2.Makamu wa rais JMT(escort2)
3.Rais wa Zanzibar(escort3)
4.Waziri mkuu wa JMT(escort4)
ww inavyoonekana hata la saba hujafika
Chizi ni wewe unayejifanya unajua kumbe ni KANJANJA , hiyo inachekesha unapitwa na mtoto wa form two, katika somo la uraia civics anajua kuliko wewe.

Nenda form two civics TOPIC YA GOVERNMENT, maana katiba kwako ni shida hutoielewa.

Unakomaa na magari bya escort, hizo ni taratibu za kukiuka wazi order of seniority.

Naona upo hapo ulipo kwa kubebwa, kifupi wewe ni mweupe sana kuliko Bambo, Kingwendu na Mtanga, wapo vizuri kuliko wewe.

Avoid to show your ignorance bro, unaabisha sana huko uliko.

Swali la Mwisho ,wewe ulienda shule KUSOMEA UJINGA???🤣😅🤔🤣
 
KATIBA SURA YA PILI(SERIKALI) wanaohusika na mamlaka ya serikali ya jamuhuri ya muungano:
-raisi wa jamuhuri
-makamu wa jamuhuri
-raisi wa Zanzibar
-waziri mkuu wetu.
NA HIYO NDIYO PROTOKALI MAANA YAKE.BUT ZANZIBAR TUMEWAMEZA.ukichek hata kiulinzi,mkuu wa jeshi Zanzibar ana cheo cha brigedia generali hivi na anaripoti kwa CDF bara,the same mkuu wa polisi Zanzibar ana cheo cha kamishna na anaripoti kwa IGP bara.ahsante
 
Mungano wetu ulikuwa wa mwl Nyerere na Sheikh Karume ndio maana changamoto haziishi

Na hapo Karume hakuungana na Nyerere ni kuwa aliwekwa na Nyerere kwani mavamizi yalifanywa na Nyerere kwa kusaidiwa na Waingereza
 
Kikatiba Rais wa Zanzibar ni kama Makamu wa Rais wa pili wa JMT ndio maana hata vikao vya baraza la mawazili anaitwa kushiriki akiwepo Rais wa JMT.Katiba ya Tanzania ibara ya 54 kifungu cha kwanza
Hamna kitu, mamlaka ya Rais wa Zanzibar yalikuwa makubwa kabla ya vyama vingi.
Ambapo automatically alikuwa makamu wa Rais, baada ya vyama vingi yalifanyika mabadiliko madogo ya katiba, kikaingizwa kipengele Cha running mgombea mwenza.

Kwahiyo bwatu wengi hudhani hadhi bya rais wa Zanzibar imebaki ilivyo, la hasha, tulitoka huko kuanzia uchaguzi wa 1995 wa vyama vingi
 
Hamna kitu, mamlaka ya Rais wa Zanzibar yalikuwa makubwa kabla ya vyama vingi.
Ambapo automatically alikuwa makamu wa Rais, baada ya vyama vingi yalifanyika mabadiliko madogo ya katiba, kikaingizwa kipengele Cha running mgombea mwenza.

Kwahiyo bwatu wengi hudhani hadhi bya rais wa Zanzibar imebaki ilivyo, la hasha, tulitoka huko kuanzia uchaguzi wa 1995 wa vyama vingi
Aisee wewe ni zaidi ya chizi unatia hasira hujui chochote👎👎👎 kuandika tu shida😂😂😂 Vyeo vya serikali utavielewa kwel!!!!!
 
Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na ndio akamataja Waziri Mkuu wa Tanzania, Bwana Kassimu Majaliwa.

Swali langu ni je, kati ya Raisi wa Zanibar na Waziri Mkuu wa Tanzania, ni nani mwenye cheo kikubwa?

Zanzibar si ni sehemu ya Tanzania, sasa iweje Rais wa Zanzibar ambae ni sehemu tu ya Muungano awe juu ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Amejisahau tu. Rais wa Zanzibar ni mtu mdogo sana.
 
Waziri Mkuu kikatiba ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar.
Hizo zinafanyikan zinafanyikan makusudi kabisa ku mo overate Rais wa Visiwabvya Zanzibar ambavyo sawa na wilaya Moja huku Bara.

Mamlaka ya Waziri Mkuu, kwenye Baraza la MAWAZIRI ,
Ibara ya 50, kifungu kidogo Cha (I) na Cha (ii) kinaonesha vizuri sana, kwamba KUTAKUWA NA BARAZA LA MAWAZIRI,

Linaundwa na Rais wa URT nayae atakuwa Mwenyekiti, asipokuwepo Makamu wa Rais.

Ikitokea Rais na makamu kwa pamoja hawapo,waziri Mkuu ataongoza kikao Cha Baraza la MAWAZIRI.

Wajumbe wanaounda Baraza la MAWAZIRI.

Mosi Rais, Mbili Makamu, tatu Waziri Mkuu.
Nne MAWAZIRI wote kamili sio manaibu,ni wajumbe, na Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu,akiwa anaingia baraza la mawaziri hadhi yake ni sawa na Innocent Bashungwa au Masauni.

Nyongeza ikitokea Rais hayupo nchini Rungu anashiklia Makamu wa Rais, asipokuwepo yeye pia, Rungu atashika waziri Mkuu, naye asipokuwepo atashika speaker wa Bunge, na ikitokea wote hao hawapo kwa pamoja nchi itakuwa chini ya jaji mkuu!

Hapo Rais wa Zanzibar hatajwi.

Kumruka waziri mkuu au waziri mkuu kutangulia kuingia kwenye sherehe za kitaifa katika accending order na descending order yaani order of seniority ni JANJAJANJA tu ya makusudi inayofanyika.

Lakini ni ukiukwaji wa katiba mchana kweupe.

Hayo yanatosha kuelewa hata kwa mwanafunzi wa elimu ya Uraia Civics kuelewa kuwa waziri mkuu ni Mtu Mkubwa sana katika nchi kimamlaka na protocal akiwa chini ya Makamu wa Rais.

Kwahiyo kumdogosha waziri mkuu ni mbwembwe na janjajanja flani ya makusudi.

😅🤔🙏
Hujui chochote
 
We ndiyo MPUUZI unaleta ubishi wa kijinga,hata kama upo ulipo we ni mweupe saaana upstairs, upo hapo by chance 🤣😅.

Leta rejea ya katiba kupinga Ibara ya 50 kifungu kidogo Cha (I) na (ii)

Vingenevyo wewe ni POPOMA NA BUMUNDA tu🤔🤔
Hujui chochote
 
Swali langu ni je, kati ya Raisi wa Zanibar na Waziri Mkuu wa Tanzania, ni nani mwenye cheo kikubwa?
Kuna kitu kinaitwa the powers hierarchy and the protocol hierarchy.

Utajaji wa majina kwenye events unafuata the protocol hierarchy
1. Rais wa JMT
2. VP
3. Rais wa Zanzibar
4. Waziri Mkuu
5. VP 1 ZnZ
6. VP 2 ZnZ
7. Naibu PM
8. Spika
9. Jaji Mkuu
10. CDF

The Power hierarchy ni
1. Rais
2. VP
3. PM
4. Rais wa Zanzibar
5. Spika
6. Jaji Mkuu
7. VP 1 Zanzibar
8. VP 2 Zanzibar
9. DPM
10. CDF
P
 
Huna akili chizi ww! Waziri mkuu ni wanne kimamlaka weka hili akilini!
Na ndiyo maana hata magari ya escort yapo hv;
1.Rais wa JMT (escort 1)
2.Makamu wa rais JMT(escort2)
3.Rais wa Zanzibar(escort3)
4.Waziri mkuu wa JMT(escort4)
ww inavyoonekana hata la saba hujafika

Siyo kweli. Kaisome katiba ya JMT.

Rais wa Zanzibar, kwenye JMT, hadhi yake ni kama waziri wa wizara. Na hana mamlaka yoyote kwa JMT, isipokuwa Zanzibar tu. Kabla ya katiba ya mwaka 1977, Rais wa Zanzibar alikuwa ni Makamu wa Rais wa JMT.

Waziri mkuu ni kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye mamlaka yake yanafika JMT yote, ikiwemo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe kwenye Baraza la mawaziri la JMT, ambalo viongozi wake kwa mpangilio wa kikatiba ni 1) Rais wa JMT 2) Makamu wa Rais wa JMT 3) Waziri mkuu.
 
Kuna kitu kinaitwa the powers hierarchy and the protocol hierarchy.

Utajaji wa majina kwenye events unafuata the protocol hierarchy
1. Rais wa JMT
2. VP
3. Rais wa Zanzibar
4. Waziri Mkuu
5. VP 1 ZnZ
6. VP 2 ZnZ
7. Naibu PM
8. Spika
9. Jaji Mkuu
10. CDF

The Power hierarchy ni
1. Rais
2. VP
3. PM
4. Rais wa Zanzibar
5. Spika
6. Jaji Mkuu
7. VP 1 Zanzibar
8. VP 2 Zanzibar
9. DPM
10. CDF
P
Haya mambo huwezi kuyaona katika nchi za wenzetu.
 
Back
Top Bottom