Rais Samia: Kodi ndio Damu ya Serikali

Damu ya viongozi majizi wa serekali na ccm.
 
Anataka kutukamua ili kila kiongozi amnunulie ndege? Matumizi ya serika ya kijinga yazidi kuwa juu? Na aongeze goli la mama hadi ndondo cup!?

Nimeamini maneno ya Prof Tibaijuka, kila wanavyopanua ndivyo wanazidi kutamani. Kunguni hawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…