CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Aje atekwe mumeo ndiyo utaelewa machungu tunayopitia. Kwani uongo mafwele na wauaji wenzake hawalipwi kwa kodi zetu?Yaani wewe muda wote ni uropokaji tu utafikiri umechanganyikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje atekwe mumeo ndiyo utaelewa machungu tunayopitia. Kwani uongo mafwele na wauaji wenzake hawalipwi kwa kodi zetu?Yaani wewe muda wote ni uropokaji tu utafikiri umechanganyikiwa
Sema saa za milioni 600 ...kodi za sisimizi na manyani wa Tanganyika ndiyo zilitumikaUlilipia wewe hiyo saa ya millioni mia 6? Au unajiongelea tu kama mtoto mdogo
Unalipwa, na leo ndiyo siku yenu ya kutupiwa makombo kama mbwakoko vile.Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani
Ungeacha hoja hii nzito ijadiliwe na wenye akili Timamu na wanaojitambua na wenye akili kubwa.Unalipwa, na leo ndiyo siku yenu ya kutupiwa makombo kama mbwakoko vile.
Hata hii ni nzito tena sana kodi zetu kutumika kuwalipa posho vidampa kama wewe ni matumizi mabaya ya kodi zetuUngeacha hoja hii nzito ijadiliwe na wenye akili Timamu na wanaojitambua na wenye akili kubwa.
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja.Hata hii ni nzito tena sana kodi zetu kutumika kuwalipa posho vidampa kama wewe ni matumizi mabaya ya kodi zetu
Damu ya viongozi majizi wa serekali na ccm.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya serikali.ambapo kila Mtanzania anapaswa kulipa kodi.
Hii maana yake nini watanzania wenzangu? Hii ni katika kuwakumbusha watanzania wajibu wao au wetu sote katika ujenzi wa Taifa letu. Maana yake ni kuwa watanzania ni lazima tujisikie fahari kulipa kodi kwa hiyari ya mioyo yetu.tukitaka maendeleo ya aina yoyote ile ni lazima tuwajibike kulipa kodi bila kutafuta chochoro za kukwepa kodi.
Ni ulipaji wa kodi stahiki utafanya serikali yetu kuwa na uwezo wa kujenga zahanati na vituo vya afya vya kutosha.kuajiri watumishi wa afya wa kutosha na katika ngazi zote,kununua vifaa tiba na madawa ya kutosha na ya kila ugonjwa. Kujenga na kuboresha ama kukarabati shule ,kuongeza vyumba vya madarasa ili kuendana na ongezeko la wanafunzi,kuajiri walimu wa masomo yote pamoja na kuwa na maabara za kisasa kwa masomo yote ya sayansi.
Ni ulipaji kodi stahiki utakao iwezesha serikali yetu kuwa na uwezo wa kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama,upandishaji wa mishahara kwa watumishi wa umma ili kuwaongezea morali ya kazi na kumudu gharama za Maisha,ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo pia itatoa fursa mbalimbali za ajira kwa vijana pamoja na kuchochea mzunguko wa fedha mitaani na biashara kushamiri.
Sasa huwa inashangaza unakuta mfanyabiashara au mtu ni mkwepa kodi mkubwa lakini huyo huyo analalamika juu ya ubovu wa huduma fulani ya serikali.bila kujua kuwa serikali haina pesa ila wananchi ndio wenye pesa na tunaopaswa kuchanga kupitia mfumo wa kodi ili serikali ilete na kusambaza huduma kwa wananchi.
Kwa hiyo ni wajibu wetu wananchi kumuunga mkono Rais wetu kwa kulipa kodi bila kukwepa.hata Mataifa yaliyoendelea yamefika hapo yalipo kutokana na ulipaji wa kodi.Nchi za wenzetu ni wakali na wachungu sana linapokuja suala la ulipaji kodi.na ni kosa kubwa sana ikibainika wewe ni mkwepa kodi au umewahi kukwepa kulipa kodi mwaka fulani katika biashara fulani au kitu fulani.
Ndio maana ni kawaida sana kuona wachezaji wakubwa wenye majina makubwa ulaya wakiburuzwa mahakamani bila kujali ukubwa na umaarufu wa majina yao kwa makosa ya ukwepaji kodi.wenzetu walishajuwa kuwa kodi ndio moyo na kitovu cha maendeleo ya Nchi na ni Damu iendeshayo serikali kama alivyosema Mama yetu Mpendwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pia soma:Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya, kingi kinaingia mifukoni kwa Watu
Yaani wewe hujawahi kuwa sirias hata siku moja.Damu ya viongozi majizi wa serekali na ccm.
Niko serious, ila sijawahi kuwa chawa hata siku moja.Yaani wewe hujawahi kuwa sirias hata siku moja.
Wewe huwa hujitambui hata kidogo.Niko serious, ila sijawahi kuwa chawa hata siku moja.
Ni kweli, maana kujitambua ni kuwa chawa.Wewe huwa hujitambui hata kidogo.
😀😀Ni kweli, maana kujitambua ni kuwa chawa.
Acha kuropoka ropokaAje atekwe mumeo ndiyo utaelewa machungu tunayopitia. Kwani uongo mafwele na wauaji wenzake hawalipwi kwa kodi zetu?
Wewe uliyejaza kamasi kwenye fuvu lako ndiye mropokaji kusifia sifia ujinga.Acha kuropoka ropoka
Anataka kutukamua ili kila kiongozi amnunulie ndege? Matumizi ya serika ya kijinga yazidi kuwa juu? Na aongeze goli la mama hadi ndondo cup!?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya serikali.ambapo kila Mtanzania anapaswa kulipa kodi.
Hii maana yake nini watanzania wenzangu? Hii ni katika kuwakumbusha watanzania wajibu wao au wetu sote katika ujenzi wa Taifa letu. Maana yake ni kuwa watanzania ni lazima tujisikie fahari kulipa kodi kwa hiyari ya mioyo yetu.tukitaka maendeleo ya aina yoyote ile ni lazima tuwajibike kulipa kodi bila kutafuta chochoro za kukwepa kodi.
Ni ulipaji wa kodi stahiki utafanya serikali yetu kuwa na uwezo wa kujenga zahanati na vituo vya afya vya kutosha.kuajiri watumishi wa afya wa kutosha na katika ngazi zote,kununua vifaa tiba na madawa ya kutosha na ya kila ugonjwa. Kujenga na kuboresha ama kukarabati shule ,kuongeza vyumba vya madarasa ili kuendana na ongezeko la wanafunzi,kuajiri walimu wa masomo yote pamoja na kuwa na maabara za kisasa kwa masomo yote ya sayansi.
Ni ulipaji kodi stahiki utakao iwezesha serikali yetu kuwa na uwezo wa kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama,upandishaji wa mishahara kwa watumishi wa umma ili kuwaongezea morali ya kazi na kumudu gharama za Maisha,ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo pia itatoa fursa mbalimbali za ajira kwa vijana pamoja na kuchochea mzunguko wa fedha mitaani na biashara kushamiri.
Sasa huwa inashangaza unakuta mfanyabiashara au mtu ni mkwepa kodi mkubwa lakini huyo huyo analalamika juu ya ubovu wa huduma fulani ya serikali.bila kujua kuwa serikali haina pesa ila wananchi ndio wenye pesa na tunaopaswa kuchanga kupitia mfumo wa kodi ili serikali ilete na kusambaza huduma kwa wananchi.
Kwa hiyo ni wajibu wetu wananchi kumuunga mkono Rais wetu kwa kulipa kodi bila kukwepa.hata Mataifa yaliyoendelea yamefika hapo yalipo kutokana na ulipaji wa kodi.Nchi za wenzetu ni wakali na wachungu sana linapokuja suala la ulipaji kodi.na ni kosa kubwa sana ikibainika wewe ni mkwepa kodi au umewahi kukwepa kulipa kodi mwaka fulani katika biashara fulani au kitu fulani.
Ndio maana ni kawaida sana kuona wachezaji wakubwa wenye majina makubwa ulaya wakiburuzwa mahakamani bila kujali ukubwa na umaarufu wa majina yao kwa makosa ya ukwepaji kodi.wenzetu walishajuwa kuwa kodi ndio moyo na kitovu cha maendeleo ya Nchi na ni Damu iendeshayo serikali kama alivyosema Mama yetu Mpendwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pia soma:Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya, kingi kinaingia mifukoni kwa Watu
Hawaitapanyi hovyo bali inakwenda kufanya shughuli za maendeleo na miradi mbalimbali ya maendeleo.Na hio damu tabaka tawala wanaitapanya ovyo
Hawaitapanyi hovyo bali inakwenda kufanya shughuli za maendeleo na miradi mbalimbali ya maendeleo.
Kama analifahamu Hilo yeye amechukua hatua gani?Kulikabili HiloHata Boss mwenyewe kasema...pesa zinaenda mifukoni mwa watu
ImbecileHawaitapanyi hovyo bali inakwenda kufanya shughuli za maendeleo na miradi mbalimbali ya maendeleo.