Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaaniUlisahau kumtaja leo usingepokea posho 😂 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaaniUlisahau kumtaja leo usingepokea posho 😂 😂
Kwahiyo wabunge wanajitungia sheria wao wasilipe na sisi tulipe ilhali wao wanatumia sehemu kubwa ya keki ya Taifa ipatikanayo kwa kodi hizo?Ni suala la kurekebisha sheria zetu.maana hilo lipo kisheria. Lakini kumbuka pia sheria zote zinatungwa na Bunge.
Hivi ni kwa nini hili suala nimekuwa nikilisikia hivyo hivyo miaka yote mimi nilitegemea kuwa mwaka huu nitasikia kuwa walipa kodi wamefikia milioni 7 au nitatizo limeshindikana!?Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani
O wanaozipekechua yule mkuu SANA Ibis he tu, Au labda . . .Hata Boss mwenyewe kasema...pesa zinaenda mifukoni mwa watu
Ha
Ooh ! wanaozipekechua, yule mkuu SANA awawajibishe tu. Au labda . . . .
Kuna direct tax na indirect tax. Direct tax inahitaji mambo mengi sana kuongeza walipakodi wa kundi hilo.ikiwepo sera,sheria na Mambo mengine mengiHivi ni kwa nini hili suala nimekuwa nikilisikia hivyo hivyo miaka yote mimi nilitegemea kuwa mwaka huu nitasikia kuwa walipa kodi wamefikia milioni 7 au nitatizo limeshindikana!?
Nilitegemea baada ya kuwa na makamu wa rais mchumi waziri wa fedha mchumi dalaja la kwanza basi mambo yatabadilika lakini mambo ni yaleyale.
Kuna nini!?
Ndio sasa si tunaiweka serikali madalakani ili ishughulikie hayo mambo sasa wanashindwa nini wimbo ni huo tangia utawala wa mkapa mpaka sasa malalamiko ni yaleyaleKuna direct tax na indirect tax. Direct tax inahitaji mambo mengi sana kuongeza walipakodi wa kundi hilo.ikiwepo sera,sheria na Mambo mengine mengi
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya serikali.ambapo kila Mtanzania anapaswa kulipa kodi.
Hii maana yake nini watanzania wenzangu? Hii ni katika kuwakumbusha watanzania wajibu wao au wetu sote katika ujenzi wa Taifa letu. Maana yake ni kuwa watanzania ni lazima tujisikie fahari kulipa kodi kwa hiyari ya mioyo yetu.tukitaka maendeleo ya aina yoyote ile ni lazima tuwajibike kulipa kodi bila kutafuta chochoro za kukwepa kodi.
Ni ulipaji wa kodi stahiki utafanya serikali yetu kuwa na uwezo wa kujenga zahanati na vituo vya afya vya kutosha.kuajiri watumishi wa afya wa kutosha na katika ngazi zote,kununua vifaa tiba na madawa ya kutosha na ya kila ugonjwa. Kujenga na kuboresha ama kukarabati shule ,kuongeza vyumba vya madarasa ili kuendana na ongezeko la wanafunzi,kuajiri walimu wa masomo yote pamoja na kuwa na maabara za kisasa kwa masomo yote ya sayansi.
Ni ulipaji kodi stahiki utakao iwezesha serikali yetu kuwa na uwezo wa kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama,upandishaji wa mishahara kwa watumishi wa umma ili kuwaongezea morali ya kazi na kumudu gharama za Maisha,ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo pia itatoa fursa mbalimbali za ajira kwa vijana pamoja na kuchochea mzunguko wa fedha mitaani na biashara kushamiri.
Sasa huwa inashangaza unakuta mfanyabiashara au mtu ni mkwepa kodi mkubwa lakini huyo huyo analalamika juu ya ubovu wa huduma fulani ya serikali.bila kujua kuwa serikali haina pesa ila wananchi ndio wenye pesa na tunaopaswa kuchanga kupitia mfumo wa kodi ili serikali ilete na kusambaza huduma kwa wananchi.
Kwa hiyo ni wajibu wetu wananchi kumuunga mkono Rais wetu kwa kulipa kodi bila kukwepa.hata Mataifa yaliyoendelea yamefika hapo yalipo kutokana na ulipaji wa kodi.Nchi za wenzetu ni wakali na wachungu sana linapokuja suala la ulipaji kodi.na ni kosa kubwa sana ikibainika wewe ni mkwepa kodi au umewahi kukwepa kulipa kodi mwaka fulani katika biashara fulani au kitu fulani.
Ndio maana ni kawaida sana kuona wachezaji wakubwa wenye majina makubwa ulaya wakiburuzwa mahakamani bila kujali ukubwa na umaarufu wa majina yao kwa makosa ya ukwepaji kodi.wenzetu walishajuwa kuwa kodi ndio moyo na kitovu cha maendeleo ya Nchi na ni Damu iendeshayo serikali kama alivyosema Mama yetu Mpendwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mama yetu ni msikivu.kwa hiyo wala usijaliNdio sasa si tunaiweka serikali madalakani ili ishughulikie hayo mambo sasa wanashindwa nini wimbo ni huo tangia utawala wa mkapa mpaka sasa malalamiko ni yaleyale
Wewe ni mpotoshaji na Mzushi sana.Kila mtu anataka kulipa Kodi
Ukakasi unakuja pale Tu unapolipa Kodi ya Jasho lako then anaenda kupewa mtu Kwa ajili ya kuandika Tu kwenye mitandao Sifa za Rais
Usikivu wa vipi kwa hiyo waliomtangulia hawakuwa wasikivu!?Mama yetu ni msikivu.kwa hiyo wala usijali
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya MbinguUsikivu wa vipi kwa hiyo waliomtangulia hawakuwa wasikivu!?
Kwani huyo samia zile saa zake za milioni 600 vipi zimehalibia au anataka hela kununua zingine ...nani alipe kodi hili viongozi wahuni mzidi kujinenepesha kwa kodi zetu.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya serikali.ambapo kila Mtanzania anapaswa kulipa kodi.
Hii maana yake nini watanzania wenzangu? Hii ni katika kuwakumbusha watanzania wajibu wao au wetu sote katika ujenzi wa Taifa letu. Maana yake ni kuwa watanzania ni lazima tujisikie fahari kulipa kodi kwa hiyari ya mioyo yetu.tukitaka maendeleo ya aina yoyote ile ni lazima tuwajibike kulipa kodi bila kutafuta chochoro za kukwepa kodi.
Ni ulipaji wa kodi stahiki utafanya serikali yetu kuwa na uwezo wa kujenga zahanati na vituo vya afya vya kutosha.kuajiri watumishi wa afya wa kutosha na katika ngazi zote,kununua vifaa tiba na madawa ya kutosha na ya kila ugonjwa. Kujenga na kuboresha ama kukarabati shule ,kuongeza vyumba vya madarasa ili kuendana na ongezeko la wanafunzi,kuajiri walimu wa masomo yote pamoja na kuwa na maabara za kisasa kwa masomo yote ya sayansi.
Ni ulipaji kodi stahiki utakao iwezesha serikali yetu kuwa na uwezo wa kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama,upandishaji wa mishahara kwa watumishi wa umma ili kuwaongezea morali ya kazi na kumudu gharama za Maisha,ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo pia itatoa fursa mbalimbali za ajira kwa vijana pamoja na kuchochea mzunguko wa fedha mitaani na biashara kushamiri.
Sasa huwa inashangaza unakuta mfanyabiashara au mtu ni mkwepa kodi mkubwa lakini huyo huyo analalamika juu ya ubovu wa huduma fulani ya serikali.bila kujua kuwa serikali haina pesa ila wananchi ndio wenye pesa na tunaopaswa kuchanga kupitia mfumo wa kodi ili serikali ilete na kusambaza huduma kwa wananchi.
Kwa hiyo ni wajibu wetu wananchi kumuunga mkono Rais wetu kwa kulipa kodi bila kukwepa.hata Mataifa yaliyoendelea yamefika hapo yalipo kutokana na ulipaji wa kodi.Nchi za wenzetu ni wakali na wachungu sana linapokuja suala la ulipaji kodi.na ni kosa kubwa sana ikibainika wewe ni mkwepa kodi au umewahi kukwepa kulipa kodi mwaka fulani katika biashara fulani au kitu fulani.
Ndio maana ni kawaida sana kuona wachezaji wakubwa wenye majina makubwa ulaya wakiburuzwa mahakamani bila kujali ukubwa na umaarufu wa majina yao kwa makosa ya ukwepaji kodi.wenzetu walishajuwa kuwa kodi ndio moyo na kitovu cha maendeleo ya Nchi na ni Damu iendeshayo serikali kama alivyosema Mama yetu Mpendwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Usulete majibu mepesi kwa maswali magumu kuna kila dalili kwamba hili ni suala liko juu ya uwezo wa wataalamu wetu wa kufikiriKwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu
Wewe ni mpotoshaji na Mzushi sana.
Yaani wewe muda wote ni uropokaji tu utafikiri umechanganyikiwaDamu hiyo ndiyo inawalipa mishahara Mafwele na genge lake kumwaga damu za wasiokuwa na hatia
Ulilipia wewe hiyo saa ya millioni mia 6? Au unajiongelea tu kama mtoto mdogoKwani huyo samia zile saa zake za milioni 600 vipi zimehalibia au anataka hela kununua zingine ...nani alipe kodi hili viongozi wahuni mzidi kujinenepesha kwa kodi zetu.