Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mkuu wangu Kongole kwa kuliona hilo👊Mkuu mimi nafikiri ziara zake kwa majirani zetu ni muhimu,kuimalisha usalama ,uchumi,elimu na tekinologia, utamaduni na michezo,afya n.k
🤣🤣👊Huo ujinga ulikokariri kautapike ndio urudi kujadili.Budget ya nani inafadhiliwa na wazungu kwa hizo %.
unazeeka vibaya Sana na hii ndio shida ya machadema kukurupuka na kutokujisomea.Jipange upya afu urudi jukwaani.
Huijui Kabul wewe.Atatua uwanja upi wa ndege?
Hapo Kabul kwa kitoto?
#SSH Rais msikivu
#SiempreJMT
Kama shetani mwendakuzimu ilivyomtokea!!Anayelaani wenzake laana humgeukia yeye binafsi.
🤣🤣Mkuu nimemjibu Komredi Bujibuji kuwa "Kabul si kwa kitoto"....Huijui Kabul wewe.
Endelea kuwa sukule kwa kupiga makofi na kushangilia.
Umemaliza yote.Unapodai kuwa Kenya,Rwanda na Burundi zina tija kwa uchumi wa Tanzania umetumia data na statistics gani?Umetumia credible source gani katika information zako?Umetumia tafiti gani za uchumi?Haya mambo ya uchumi siyo mambo ya kupiga porojo kama alivyokuwa anafanya magufuli bali ni masuala ya data kutoka kwenye credible sources pamoja na tafiti.
Unapodai kwa mfano kuwa Congo au Rwanda ina tija katika uchumi wetu umelinganisha nchi hizi na nchi gani?Rwanda inaweza kuwa na tija katika uchumi wetu kumbe tija yake ni ndogo mara kumi ukilinganisha na nchi nyingine kutoka Ulaya na marekani kwa mfano.Haya mambo ya tija katika uchumi yanahitaji ufanye kwanza comparative analysis ya masuala mazima ya uchumi.Umefanya comparative analysis gani katika nchi mbalimbali hadi ugundue kuwa Congo inapaswa kupewa kipaumbele katika ziara za Rais kwa sababu ina tija kwetu kuliko nchi nyingine kutoka mfano ulaya na Marekani?
Wewe unaongea tu porojo kuwa Rwanda,Burundi sijui Congo zina tija kwetu bila kuwa na credible sources za data,statistics,informations na kadhalika.Mbaya zaidi hujafanya comparative analysis yoyote ile katika nchi mbalimbali ili kujua ni nchi zipi kwa uhakika zina tija kwetu kabla ya kufikia conclusion yako.Haya mambo huwa hayafanywi kama unavyotaka kufanya hapa.Haya mambo ni sayansi.
Huyu Mama wa Kambo anaependa kuzurura kama yale mapaka yasiyofugwa yeye anaenda tu Congo huko na kadhalika ila mradi aonekane kuwa Rais yupo ziarani.She is inept.
Mungu akubariki mkuu HamatanHawezi kufanikiwa kuleta wawekezaji wakati sheria ni zile zile, ubambikiaji ni ule ule, kubadilisha sheria za kodi kila mwaka ni kulekule, mwekezaji gani mjinga ataenda nchi kama hiyo? Anayewabambikia watu kuwa ni wauaji, hawezi kushindwa kukubambikia wewe kuwa umekwepa kodi.
Mimi pia nimepitwa,angetokea muungwana mmoja wa kutuwekea hata "hint" ya kilichojiri,ningeshukuru sana.Duh hii nimepitwa
Mwenyekiti wa CCM yupi huyo ndugu Memento ?Washajua hakuna chochote anachojua.
Washamsoma kuwa huyu hamna kitu, aisee Ila safari hii tumepatikana. CCM watavuna kwa kadri ya watavyoweza.
Hebu fikiria mwenyekiti wa CCM mkoa nae anahudhuria sherehe ya uapisho wa raisi
Naomba majina ya walioenda Zambia tafadhali Jumbe Brown .Maneno ya uzushi....
Maneno ya Umbea....
Maneno ya Chuki.....
#KaziIendelee
#SiempreJMT
Labda nikukumbushe kuwa "Salumu" Kikeke ni mbongo na mbongo kutumika ni rahisi sanaMarekebisho kidogo ya Kiswahili, ni hivi sema "hutarajii" siyo "sitegemei"! Sasa kwenye hoja ni kuwa hata kama SSH alisema yeye na JPM ni kitu kimoja, lakini kwenye utendaji kila mmoja ana staili yake. Ndio maana tunaona approach tofauti katika utendaji wao. Kuhusu hayo maswali wewe subiri tu utaona hao "wazungu" watakavyo haha wakati wakijibiwa hivyo viswali vyao. Si ulimwona nani yule - Kikeke alivyojibiwa hadi akakubali mwenyewe na yule bosi wake wa BBC. Au umeshasahau mara hii tu?
Umepotoka sana.Hebu angalia uteuzi wa waziri wa mambo ya nje ,mh.Liberata Mulamula....uteuzi bora kabisa....
Mh.Mulamula ana uwezo mkubwa na masuala ya DIPLOMASIA...uchumi wa kidiplomasia.....na ndio maana TEUZI ZA MABALOZI zimesimama kwenda KUTUINUA KIUCHUMI HUKO ughaibuni(nchi zilizoendelea)....
Wacha mh.Rais aanze na ziara za hapa karibu.....
Sawa👍Umepotoka sana.
Wewe sukule,yaani unakubali kumpa hela baba yako ambayo una uhakika wa asilimia 200 kuwa ataenda kuhonga mwanamke au kunywea pombe kisa ni baba yako nawe ni mtoto!!???Hilo sasa ni suala la tabia na ukosefu wa uadilifu wa hao watendaji na suala la viwango vya adhabu kwa mijizi hiyo ni suala la watunga sheria na serikali katika kuwapa adhabu mijizi hiyo. Haya hayana uhusiano na tozo na kodi tunazopaswa kuchangia kwa ajili ya maendeleo yetu.
Kukubali chanjo ya J & J kumetupa kiasi gani cha hela!!??Mimi ni muumini wa regional intergration zaidi kuliko inter-continental, nawaona hao jamaa zako walioendelea kama ni watu wa kutafuta fursa za kunyonya nchi zinazoendelea tu ( Refer masharti ya bandari ya bagamoyo). Hizi nchi jirani tunafanya biashara yenye kuaminiana zaidi kila pande ikipata maslahi halali kulingana na huduma inayoitoa kwa mwenzake.
Kwenda kuwapigia magoti wazungu na kopo la misaada zama zake naona kama zimeshapitwa na wakati.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama mshauri wake ni vasco da gama unategemea nini?
Halafu nchi anazosafiri kwenda zina mchango mdogo kwenye uchumi wetu.
Asafiri kutafta wawekezaji wa maana huko Ulaya walete mitaji kutusaidia ku exploit hizi natural resources tulizonazo.
Sio muda utasikia ana ziara Somalia.
Yaani hapa tumeingia cha kike kweli.
Kawabeba Bwabwa Shaka na KibajajiHapo Anatumia Airbus Inayobeba Watu 120
[emoji1787][emoji23][emoji3][emoji16][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukikaa nchale, ukisimama nchale, ukiruka nchale, ukikimbia nchale, ukifanya chochote nchale..
JPM alikuwa hasafiri kabisa tukaimba hapa wee Rais hasafiri, aende akajifunze akapate exposure, yeye humuhumu na misafara gharama kubwa na kelele kibao tukampigia..
Sasa, ameingia mama amesikia kilio chenu anasafiri...tumeanza kelele tena.
Ndugu Jumbe Brown ,hizi "code" ukizikosea,maana yake ni nyingine kabisa.Mkuu hapo HKIA umeuona moto wake ndani na nje yake?!!!